Freeman Mbowe kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA

Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Mkuu - Huyo jamaa chama si ni chake?? Alikabidhiwa na Baba Mkwe.....sasa unataka amuachie nani??
 
Tuanze na kikomo cha ubunge ndo tuje kujibu swali lako.

Halafuu, we Prof. Humuoni au unajizima data?
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Acha kumuonea!!

Wabunge waliondolewa KWA figisu za 2020!

Halafu uenyekiti wa mbowe hautuhusu ccm kinachotuhusu ni wizi ulioripotiwa na CAG ambao unachafua serikali na chama chetu!!
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Mbowe hawezi kuuachia uenyekiti wa chadema atakwambia chadema wanampenda
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Utavamiwa na Nyumbu muda si mrefu. Siku hizi wakila nyasi hawatoi mbolea, wanatoa MATUSI!
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
(1).We ni muongo, kwanza Chadema haijawahi kuwa na wabunge 200. (2)Kuhusu issue ya wabunge kununuliwa hili kaiulize serikali ya Magufuli bahati mbaya hayupo hii biashara iifanyika awamu ya tano.
 
Kama ni kweli basi ni pigo kubwa kwa CCM, maana ndoto ya CCM miaka yote ni kuona Chama hiki kikipata mtu wa kukiongoza ambaye codes zake zinaweza kuwa identified kirahisi na kuwa hacked.
Kumbe una akili kubwa namna hii. Kwanini kule kwenye jukwaa la kimataifa unajitia uchizi?
 
Msie mpenda kajaa...[emoji56][emoji28][emoji28]
 
(1).We ni muongo, kwanza Chadema haijawahi kuwa na wabunge 200. (2)Kuhusu issue ya wabunge kununuliwa hili kaiulize serikali ya Magufuli bahati mbaya hayupo hii biashara iifanyika awamu ya tano.
Hivi na lowasa mlimnunua au aliwanunua na sumaye je? Na Lazaro nyalandu walivyohamia chadema walinunuliwa
 
Back
Top Bottom