Freeman Mbowe kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA

Ni aibu iliyoje kwa chama kinachojiita Chama cha Demokrasia na Maendeleo!!

Sababu zinazotolewa za kumuidhinisha mtu mmoja kwa awamu ya nne sasa, kamwe sijawahi kuzielewa. Na katika hili, Chadema kitapuuzwa na wapenda mabadiliko wengi.
kwani toka muaminishwe na yule mpumbavu wenu wa chato kuwa chadema imekufa je ni kweli imekufa? leo unasema chadema itapuuzwa yani kauli yako wewe shoga la ccm unafikir kuna mtu ataitilia maanani, wewe ndio wakupuuzwa na chadema kama hujui saiv ni limbuyu ambalo yeyote atakayejaribu kulipalamia lazima afe atake asitake na mbowe tunamchagua tena.
 
Sababu nyepesi sana hizi! Chadema ina hazina ya wanachama waadilifu, wazalendo, na wapambanaji kama John Heche, na wengineo wengi!

Kwa nini msiwape nafasi ya kukiongoza chama? Au ni kwa sababu siyo watu wa kabila la muasisi wa chama?

Katika hili, nitawapinga kama nilivyowapinga wakati ule huyu Mwenyekiti wenu alipogombea kwa awamu ya 3 mfululizo, na kinyume kabisa na Katiba ya chama chenu iliyomtaka Mwenyekiti kuhudumu kwa vipindi viwili tu.
Mbowe tutamchagua tena na nyie mashoga ya ccm ambayo mnaongozwa na mtu asiyegombea na wengine bali form ya mwenyekit wenu hutolewa moja tu hamna la kufanya.
 
Anyway, kwani wewe nini kinakuuma Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama kisicho kuhusu?
Si alisema anang'atuka mwaka huu!? Kumbe alikuwa anasema uongo?
Viongozi wa vyama vya upinzani ni bure kabisa, kauli zao hata haziaminiki.
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Si ndio vizuri kwako Chadema ikifa au una nia nyingine.
 
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!

Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Kiini macho 😅😅
 
Hivi wewe Kulwa Jingalao, wewe si ni CCM damu damu tena mfia chama kabisa yaani, sasa why mambo ya CHADEMA yanakuuma hivi mtoto wa kiume au wewe ni mtoto hasiye riziki jamani.

Yaani ikija suala la CHADEMA vijana wajinga wa CCM wanavyotoa macho jamani hadi nashindwa kuelewa, tatizo lenu ni nini hasa? wacha wafu wazikane wao kwa wao sasa wewe yanakuhusu nini?
 
Itakuwa ujinga usiolezeka kuachia mali yake ya urithi mikononi mwa mtu mwingine. Mimi namuunga mkono Mbowe aendelee na uenyekiti kwasababu CHADEMA ni mali yake binafsi inayomletea faida nyingi haswa pesa. Au asubiri yule mwanae James akomae kisiasa kisha amrithishe chama. Lema ni mtoto wa nyumbani ila hatoshi kwa nafasi kubwa kama ile na pia ni mropokaji anaweza vujisha siri za familia.
 
Mwenyekiti Ccm-Mkapa Chadema Mbowe
Mwenyekiti Ccm Kikwete -Chadema -Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Magufuli-Chadema Mbowe..
Mwenyekiti Ccm-Samia -Chadema -Mbowe...

Labda ni Mwenyekiti Hadi kifo
Hao ni marais wastafu wa JMT siyo wenyeviti wa vyama ok, ebu kuwa serious kijana, hata mimi nikiingia magogoni leo utasikia mwenyekiti WrestlerRSF254
 
kwani toka muaminishwe na yule mpumbavu wenu wa chato kuwa chadema imekufa je ni kweli imekufa? leo unasema chadema itapuuzwa yani kauli yako wewe shoga la ccm unafikir kuna mtu ataitilia maanani, wewe ndio wakupuuzwa na chadema kama hujui saiv ni limbuyu ambalo yeyote atakayejaribu kulipalamia lazima afe atake asitake na mbowe tunamchagua tena.
Na hapa napo umeandika ujinga tu. 🚮
 
Back
Top Bottom