Basi sawa Ccm inamuogopa Mbowe kuliko inavyoigopa Chademawe hujui kwamba CCM inamwogopa Mh. Mbowe hadi wakampa kesi ya Ugaidi ili walau akifungwa wapume pumue.
Basi sawa Ccm inamuogopa Mbowe kuliko inavyoigopa Chademawe hujui kwamba CCM inamwogopa Mh. Mbowe hadi wakampa kesi ya Ugaidi ili walau akifungwa wapume pumue.
Dikteta mboweBasi sawa Ccm inamuogopa Mbowe kuliko inavyoigopa Chadema
MTATESEKA SANA BA MBOWE AMUENI KUFA TU KAMA MWENDAZAKEFreeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili gia angani lakini sasa ameanza kutuma chawa wake/ nyumbu wake akiwemo Boniface Jacob kuanza kumpigia debe tena agombee uenyekiti wa CHADEMA!!
Hivi hapo CHADEMA hawana kipimo cha kupima utendaji wa viongozi wao? Yani kiongozi hata afeli vipi lakini bado anapigiwa debe tu? Anataka afie madarakani ? Inashangaza kwa kweli.
Wewe ndiyo unateseka maana unajua ataishi mileleMTATESEKA SANA BA MBOWE AMUENI KUFA TU KAMA MWENDAZAKE
Hii taarifa bado haina uthibitisho kutoka Chadema, kauli pekee aliyoitoa Boniface Jacob akihojiwa Star Tv isichukuliwe kama ndio taarifa rasmi ya Mbowe mwenyewe, au Chadema.
Anyway, kwani wewe nini kinakuuma Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama kisicho kuhusu?