Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti CHADEMA

Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti Chadema.
Igwe wana JF,

Japo wengi hawaelewi hadi siku yawatokee wao kuna haja ya kuweka kumbukumbu sawa. Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama kiongozi wa Chadema na KUB ila kwa uhalisia wa mambo kuna kazi zaidi ya hiyo,Mbowe huyu ni zaidi ya wengi wamjuavyo.

Ni ngumu kung'amua haya kama uwezo wako kifikra ni wa kawaida au chini ya wastani lakini kwa watu walio timamu wanalijua hili. Mbowe aliyeshiriki uchaguzi mwaka 2005 aliushangaza umma wa watanzania pale alipohudhuria kuapishwa kwa JK huku akicheka kwa bashasha na kutoa vijembe kwa Lipumba amabaye hakuridhika na matokeo.

Mbowe huyu ni mwanachama wa makundi maarufu ndani ya CCM amabapo mara nyingi amekuwa akipigia chapuo baadhi ya wagombea anaowapenda. Mbowe, ni Team Lowassa, Team Membe.......nk anachokifanya ni kuchanga karata zake vema ili yeyote akitokea mambo yake yanakwenda sawa. Mbowe huyu huyu ndiye aliyemtabiria urais Magufuli huko Hai wakati akizindua barabara...alitamka hadharani anataka ''chuma'' mithili ya Magufuli.

Kwa sasa kazi yake kubwa ndani ya Chadema ni kukwepesha malengo ya Chadema, anahakikisha Chadema inapoteza ''focus''. Hapa pia ni wachache walio timamu wataelewa. Ukada wa Mbowe ni hakika. Kwa sasa ni dhahiri Chadema imegeuzwa tawi la CCM.
Tunajua mkuu,ila asante kwa kutukumbusha,maana wakati mwingine tunajisahau na kudhani kwamba si mwenzetu.The end justifies the means.
 
Hahahah we jamaa ni mpumbavu ila una confidence CCM wametumia kila njia wapandikize mtu wao awe mwenyekiti akiwepo Zitto wameshindwa wamepokonya mali za mbowe na kutengeneza kashifa mbalimbali wameshindwa unaleta kauli za kingese
 
Freeman Mbowe, kada mtiifu wa CCM aliyepewa uenyekiti Chadema.
Igwe wana JF,

Japo wengi hawaelewi hadi siku yawatokee wao kuna haja ya kuweka kumbukumbu sawa. Wengi wanamjua Freeman Mbowe kama kiongozi wa Chadema na KUB ila kwa uhalisia wa mambo kuna kazi zaidi ya hiyo,Mbowe huyu ni zaidi ya wengi wamjuavyo.

Ni ngumu kung'amua haya kama uwezo wako kifikra ni wa kawaida au chini ya wastani lakini kwa watu walio timamu wanalijua hili. Mbowe aliyeshiriki uchaguzi mwaka 2005 aliushangaza umma wa watanzania pale alipohudhuria kuapishwa kwa JK huku akicheka kwa bashasha na kutoa vijembe kwa Lipumba amabaye hakuridhika na matokeo.

Mbowe huyu ni mwanachama wa makundi maarufu ndani ya CCM amabapo mara nyingi amekuwa akipigia chapuo baadhi ya wagombea anaowapenda. Mbowe, ni Team Lowassa, Team Membe.......nk anachokifanya ni kuchanga karata zake vema ili yeyote akitokea mambo yake yanakwenda sawa. Mbowe huyu huyu ndiye aliyemtabiria urais Magufuli huko Hai wakati akizindua barabara...alitamka hadharani anataka ''chuma'' mithili ya Magufuli.

Kwa sasa kazi yake kubwa ndani ya Chadema ni kukwepesha malengo ya Chadema, anahakikisha Chadema inapoteza ''focus''. Hapa pia ni wachache walio timamu wataelewa. Ukada wa Mbowe ni hakika. Kwa sasa ni dhahiri Chadema imegeuzwa tawi la CCM.

Hongera zake basi.
 
Samahani wadau wenzangu natoka nje ya mada kidogo tu!.....
Hivi Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA anekwishachaguliwa au anaendelea yule yule anayekaimu..nadhani anatokea ZNZ

Umenena Mkuu tunatafuta uenyekiti na safari hii jinsia ya kike
 
Hahahah we jamaa ni mpumbavu ila una confidence CCM wametumia kila njia wapandikize mtu wao awe mwenyekiti akiwepo Zitto wameshindwa wamepokonya mali za mbowe na kutengeneza kashifa mbalimbali wameshindwa unaleta kauli za kingese
Kwa mawazo yangu, sii busara kuanika hadharani siri za ndani kabisa za watu, ambazo ulizipata wakati ukitoa huduma hizi na zile, huku sii kumtendea haki Mhe. Mbowe, kwa sababu, najua unayasema haya ili walioshika ukanda sasa, wakujue kuwa hata wewe ni among the few privileged ones, wanaomjua Mbowe kwa karibu Zaidi ya wengi tumjuavyo kutokana na ukaribu wenu!, unavyofanya hivi, sio tuu unataka kumuaibisha Mbowe na kumfanya asiaminike, bali pia unajiaibisha wewe mwenyewe kwa kutoa siri za ni wangapi uliowahudumia ukiwa kule!, lakini pia unamnyongonyeza huyo uliyenae sasa, which is not fair at all.

Reference ni hii

Paskali
Paskali hapa ni JF.....umeanza lini kuwa dikteta?
 
Paskali hapa ni JF.....umeanza lini kuwa dikteta?
Mimi sijawahi kuwa dikiteta ila kutokana na utu uzima, najikuta nina wajibu wa kusaidia kwa kushauri pale wadogo zangu wanapofanya makosa kama haya uliyoleta hapa hii ni siri kubwa sana, uliyoipata katika kutoa zile huduma, "hizi na zile", kwanini mambo ya siri za ndani unayaleta nje na kuyamwaga hadharani?. "Ukiaminiwa, Jiaminishe".
"Ukibebwa Bebeka",
"Ukishikwa, Shikamana" na "Ukipendwa Pendeka".
Unapendwa wewe...!

P.
 
Kama ni kada wa ccm nawe ni kada wa ccm unataka chadema wafanyaje sasa? Basi shangilia kisirisiri kuliko kuwaamusha chadema ambao hawajui kuwa wana mwenyekiti kada wa chama chenu
Ipo picha pacha,Baba yake alikuwa katika wazee wa TANU waliokuwa karibu na Mwl Nyerere,yawezekana hata lile jengo la Bilcanas uhalisia wake ni kwa sababu ya urafiki wababa yake na Mwalimu.
 
Ccm haiwezekani ikawa na mtu mbumbu kama mbowe,mtu asijua kufanya uchambuzi wa kujua kuwa huyu ni garasha na huyo ni karata,nyarandu waliyesema anaiba twiga na kuwapandisha ndege na kuuuza faru leo wanamuita mtu msafi
 
hata kama ingekuwa kweli,sijaona la kushangaza.

CCM ni chama dola kilichojipenyeza kila mahala,kila idara na kada.

Ningeshangaa kama ungesema kuwa Jpm ni chadema,ila kwa mbowe sijaona la kushangaza!
 
Hahahah we jamaa ni mpumbavu ila una confidence CCM wametumia kila njia wapandikize mtu wao awe mwenyekiti akiwepo Zitto wameshindwa wamepokonya mali za mbowe na kutengeneza kashifa mbalimbali wameshindwa unaleta kauli za kingese
Huyo aliharibu redhous ya mbow
 
Mimi sijawahi kuwa dikiteta ila kutokana na utu uzima, najikuta nina wajibu wa kusaidia kwa kushauri pale wadogo zangu wanapofanya makosa kama haya uliyoleta hapa hii ni siri kubwa sana, uliyoipata katika kutoa zile huduma, kwanini mambo ya siri za ndani unayaleta nje?. Ukiaminiwa, Jiaminishe.
Ukibebwa Bebeka na
Ukishikwa, Shikamana.

P.
Kwa bandiko lako wataka kusema hayo n ya kweli?!
 
Back
Top Bottom