Freeman Mbowe: David Silinde ni Yuda Iskariote. Aliendesha siasa za utekaji Tunduma

"Sijawahi kuwa....." ni utetezi wa kipoyoyo sana UmkhontoweSizwe big Chawa..

Unadhani nimekutambuaje kuwa wewe ni "Big Chawa wa CCM a.k.a Mama Samia?"

Kwa uandishi wako. Ni maneno yako. Ni Kwa matendo yako..

Mimi ni mpenzi na shabiki wa CHADEMA ndugu. Nielewe hivyo kuanzia leo. Ukinuna, potelea mbali na shauri lako.!!
Chawa wa watekaji huyu.
 
Siasa za kishamba sana hizi .mbona yeye aliisalit kwa kumuingiza lowasa.mbona yeye kalambishwa buyu la asali.badala ya kuzungumzia hali mbaya ya uchumi unaenda kumsimanga mtu nyumbani kwake
Damu ya wana Tunduma zitaendelea kuwatafuna. Anayelia kutekwa na aliyeteka watu nani ana siasa za kishamba?
 
Akifika Tarime aseme pia nani alimmaliza Chacha Wangwe
Jiwe na asingekuwa Jiwe upelelezi wa nguvu ungeshafanyika, obviously wahusika wangelimwa mvua za kutosha manake yule dictator alikuwa anawapelekesha watu sana. Muhutu yule bora alikufa mapema.
 
Ndio walivyo watu wengi waliotoka familia duni , hebu fikitia huyu alinunuliwa hadi nguo na Chadema , lakini akaamua kusaliti !
Ni kama mbowe kwa lowasa da umasikini mbaya sana Hadi sasa tunakumbuka manadiliko Lowasa , Lowasa mabadiliko usaliti mbaya sana.
 
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu;

"Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti CHADEMA na kuamua kumuamini mwanadamu (John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu na nchi.

"David Silinde yampasa atubu kwa imani yake kanisani kwa utekaji alioungoza kwa viongozi wenzake wa zamani CHADEMA ili kumfurahisha Magufuli.

"CHADEMA hawamhukumu Silinde, lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma."

Davide Silinde alipokelewa na Freeman Mbowe mwaka 2008 CHADEMA akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu kafundishwa siasa za majukwaani.

David Silinde ni mtu aliyetoka familia fukara sana hivyo wana Tunduma walimpenda na kumuamini kuwa hataweza kuwasaliti kwa vipande vya fedha na kama kuna siku angewasababishia ulemavu wa kudumu ili kumfurahisha Magufuli.

Freeman Mbowe, "Silinde tulimnunulia nguo na viatu kwani hakuwa na uwezo kwa wakati huo ili autumikie umma wa wana Tunduma, lakini akaamua kuwa msaliti kwa kusaliti damu za maelfu ya wana Tunduma waliomsaidia kupata ubunge."

Freeman Mbowe akanukuu injili ya Mathayo kuhusu Yuda Iskariote kwa kununuliwa kwa vipande vya fedha akifananisha na Silinde aliyeamua kuuza utu wake na heshima yake kwa Magufuli.

Akikamilisha kwa uchungu hotuba yake iliyowaliza akina mama pamoja na familia waliofungwa na kutekwa na Bwana Silinde aliyoongoza genge la wahuni mjini Tunduma, Freeman Mbowe anasema, nanukuu;

"Familia za wote waliofungwa na kutekwa wapite mbele, naona kuna wengine walemavu kutokana na David Silinde. Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku madhira aliyowatendea yatamrudia yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma. Sisi wakristo tuna amini katika msamaha."
polisi wakamkamate mwana ccm kwa maneno ya mwanachadema mmoja kweli nchi hii uhuru umewazidia. Polisi watawamaliza watu wakikamata kwa kusikiliza chadema, pigeni siasa tukutane 2025 tuone nani mkubwa.
 
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu;

"Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti CHADEMA na kuamua kumuamini mwanadamu (John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu na nchi.

"David Silinde yampasa atubu kwa imani yake kanisani kwa utekaji alioungoza kwa viongozi wenzake wa zamani CHADEMA ili kumfurahisha Magufuli.

"CHADEMA hawamhukumu Silinde, lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma."

Davide Silinde alipokelewa na Freeman Mbowe mwaka 2008 CHADEMA akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu kafundishwa siasa za majukwaani.

David Silinde ni mtu aliyetoka familia fukara sana hivyo wana Tunduma walimpenda na kumuamini kuwa hataweza kuwasaliti kwa vipande vya fedha na kama kuna siku angewasababishia ulemavu wa kudumu ili kumfurahisha Magufuli.

Freeman Mbowe, "Silinde tulimnunulia nguo na viatu kwani hakuwa na uwezo kwa wakati huo ili autumikie umma wa wana Tunduma, lakini akaamua kuwa msaliti kwa kusaliti damu za maelfu ya wana Tunduma waliomsaidia kupata ubunge."

Freeman Mbowe akanukuu injili ya Mathayo kuhusu Yuda Iskariote kwa kununuliwa kwa vipande vya fedha akifananisha na Silinde aliyeamua kuuza utu wake na heshima yake kwa Magufuli.

Akikamilisha kwa uchungu hotuba yake iliyowaliza akina mama pamoja na familia waliofungwa na kutekwa na Bwana Silinde aliyoongoza genge la wahuni mjini Tunduma, Freeman Mbowe anasema, nanukuu;

"Familia za wote waliofungwa na kutekwa wapite mbele, naona kuna wengine walemavu kutokana na David Silinde. Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku madhira aliyowatendea yatamrudia yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma. Sisi wakristo tuna amini katika msamaha."
CHADEMA hawamhukumu Silinde, lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma
 
Mbowe sasa ni wa kukemea, pombe mnampelekesha, anaanza kuwa muongo waziwazi akitafuta chama chake kuungwa mkono
 
Mbowe aache kufanya mahubiri. Yeye ni mwanasiasa na sio muinjilisti, mtume, padri, mchungaji au askofu.
Stop that nonsense. lazima historia iandikwe na ikumbukwe na wahanga wa historia hiyo. It is not question of kuhubiri, huyu aliua, akateka, akatesa na waathirika wamejitokeza mbele! stop that nonsense!
 
Siasa za kishamba sana hizi .mbona yeye aliisalit kwa kumuingiza lowasa.mbona yeye kalambishwa buyu la asali.badala ya kuzungumzia hali mbaya ya uchumi unaenda kumsimanga mtu nyumbani kwake
Yaaaani MKUTANO mzimaaa, ulikua umejaaa Kwa ajiri ya kujadili mtu MUMOJA nyumbani kwake. Kiufupi chadema hawana jipyaa
 
Silinde kuwa kiongozi wa watekaji dhidi ya viongozi wenzake wa mwanzo, ni laana kubwa. Atafurahia mafanikio ya muda mfupi, mwishoni hakika atamalizia kwa majuto.
Hakuna furaha mkuu, kwa mtu anayeishi kwa mtindo huo.
 
Back
Top Bottom