Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,397
Wewe huku hakukuhusu, endelea kuwapigia promo, DPWHayo ndiyo ya kuongea upinzani. maisha ya kila mwananchi kuimarishwa.
Siyo kutupigia kelele za kubaguzi za kijinga.
Naona Mbowe anaanza kutia akili baada ya Wambura kutowa onyo.
Sasa aje na sera, atafikiaje huko, siyo porojo bila ufumbuzi.
Ameona bajaeti sasa imeelekezwa kunyanyuwa viwango vya maisha ndiyo anataka kuzibaka sera za CCM.
Nyumba za walimu na mabweni ya wanafunzi tayari zipo kwenye bajeti, aisome bajeti asilete longolongo.