Watu mna maneno Sana nyie😂Uchaguzi huu wa CHADEMA wangesimamia TUME YA UCHAGUZI, Mbowe angeshinda
Ngoja tusubirie Hawa Wapya.Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo:
1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za uongozi na utendaji na kuweka wale wanaomtii na nidhamu ya woga.
2. Kutokuwa na msimamo madhubuti katika kulinda sera za chama.
3. Kutowashirikisha kikamilifu viongozi wenzake katika maamuzi muhimu ya Chama.
4. Kutokuwa muwazi katika mambo ambayo anajadiliana na Rais/serikali.
5. Kiburi cha fedha zake katika kuendesha Chama.
6. Kutaka kupewa shukrani zisizo na ukomo kwa misaada anayotoa.
7. Kutengeneza makundi ya vijana wapambe wake.
8. Kuamini wapambe kwa kupitiliza.
9. Kudharau viongozi wenzake wasio na uwezo wa kifedha.
10. Kuamini kuwa bila yeye hakuna Chadema.
au wanataka financial servicesMara paaah!!!, watu wanataka Financial Audited Report
Watu watatafutana sanaau wanataka financial services
kuwatathimini sio leoNgoja tusubirie Hawa Wapya.
Freeman Mbowe haamini yaliyotokea. Hakujiandaa kustaafu kwa hiyo amepata mshtuko mkubwa! Kuna mengi yamemponza lakini machache ni haya yafuatayo:
1. Kuondoa wanachama wenye uwezo katika nafasi za uongozi na utendaji na kuweka wale wanaomtii na nidhamu ya woga.
2. Kutokuwa na msimamo madhubuti katika kulinda sera za chama.
3. Kutowashirikisha kikamilifu viongozi wenzake katika maamuzi muhimu ya Chama.
4. Kutokuwa muwazi katika mambo ambayo anajadiliana na Rais/serikali.
5. Kiburi cha fedha zake katika kuendesha Chama.
6. Kutaka kupewa shukrani zisizo na ukomo kwa misaada anayotoa.
7. Kutengeneza makundi ya vijana wapambe wake.
8. Kuamini wapambe kwa kupitiliza.
9. Kudharau viongozi wenzake wasio na uwezo wa kifedha.
10. Kuamini kuwa bila yeye hakuna
Tunamjadili mshindwa ili viongozi wapya wawe na la kujifunza na kujirekebisha.Shida za siasa kuna habari kabla ya tukio, kuna habari wakati wa tukio na kuna habari baada ya tukio.
Sasa mtu ameshakubali kushindwa kama ilivyo tarajiwa na wengi na matakwa ya wengi,sasa ya nini tena kukosa utulivu,au kwa nini sasa isiwe hoja nini kiwe nini baada kushinda kuliko kuanza kumjadili mshindwa?