Freeman Mbowe awasili Msibani kwa Membe na kutoa Pole

Freeman Mbowe awasili Msibani kwa Membe na kutoa Pole

Msiba usikie kwa mtu ukikufikia nfo utajua uchungu wake.
Kwenye msiba wa jpm mlijua kutuumiza humu, utaona comment, huo mzoga unafukiwa lini huko chato? Dictator limekufa, Mungu fundi aiiiiiiiiiiiiiii dunia tunapita.

Wema hawafi...........
Mkitaka chukueni Membe mkawazike pamoja wakapigane huko.
Kumbe kumpimp kote kule yule jamaa levels zake ni Membe? Mlipokua mnasema hana wa kumfananisha naye?
 
FB_IMG_1683984400213.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amefika nyumbani kwa Bernard Membe ili kuhani Msiba , ambapo ametia saini kwenye Kitabu cha Wageni

Huku akiwa chini ya Ulinzi wa Makomandoo , Mbowe amemuelezea Membe kama rafiki ambaye wameshirikiana katika mengi ndani na nje ya Bunge kwa zaidi ya miaka 15 , Mbowe amesema Membe alikuwa mtu mwema na mwenye uthubutu wa kupinga dhuluma na uonevu

View attachment 2620428

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
ameenda kumuaga msafi asiyekufa !!?
 
Back
Top Bottom