Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,429
Hamna cha Katiba Mpya Wala nini hapo bali tuhuma za ugaidi. Mbowe hawezi kuwa na uchungu wa Katiba kuwazidi Watanzania wengine. Yeye kule CHADEMA ndiyo anaongoza kwa mfumo wa KISULTAN ambao Mbowe ameujenga kwa miaka 18 kama Mwenyekiti wa maisha.Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Nguzo pekee ya Watanzania iliyoshikilia amani ya Nchi , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , ametimiza siku 179 ambao ni urefu wa nusu mwaka akiwa gerezani .
View attachment 2082025
Mbowe anashikiliwa jela kwa kesi ya uongo ya Ugaidi unaotajwa kuwa na thamani ya hela za madafu laki 6 , anashikiliwa jela kutokana na uoga wa Watawala wa kuogopa kung'olewa madarakani iwapo KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI anavyovipigania vitakuja nchini .
View attachment 2082031
Taarifa zinadokeza kwamba baada ya kushindwa kummaliza kwa kutumia njia mbalimbali ikiwemo UCHAWI , wakaamua kumbambika kesi isiyo na dhamana ili kumkomesha
View attachment 2082034
Bali kinachofahamika ni kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAKO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU .
Kila Ubaya utalipwa .
Tunataka Katiba Nzuri lakini siyo kwa kuongozwa na Mbowe ambaye katika miaka 18;
-Yeye tu ndiye Mwenyekiti
- Kamshibiti Chacha Wangwe mpaka akafa
-Kamshibiti Zitto Kabwe mpaka akafukuzwa chama
- Anagawa viti Maalum kwa ndugu zake akina Kiwelu, Mukya, Komu, Lyimo
- Anauzia CHADEMA magari mabovu kwa kampuni yake