Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

afdhali picha zimeletwa mapema maana wale wa rangi ya maruni hawakawii kusema chadema hawajafanya mkutano kisa watu hawakuwepo.
 
Umati kwenye eneo la mkutano..
.baaaado watu wana miminika kila kona mkutano utaanza saa 10 kamili
 

Attachments

  • 1429792355569.jpg
    103.9 KB · Views: 1,205
Hizo picha zinawatisha Mbaya magamba na mawakala wao. Hii nchi imeiva Kwa ukombozi
Ahsante CHADEMA na UKAWA Kwa kuonyesha moyo wa that kutuondolea ccm

Zimefanyaje? mpaka zitishe watu? Kwani kuna nini kipya hapo?
 
Zitto aitikisa simiyu mbowe aingia mitini. Haahaahaa
 

Attachments

  • SAM_1377.jpeg
    202.5 KB · Views: 363

Attachments

  • 1429792713260.jpg
    20.1 KB · Views: 350
  • 1429792729381.jpg
    82.8 KB · Views: 332
Apologise lady

Ungeanza kwa kumuuliza huyo mwenzio anayeitaja CCM, imehusikaje hapo?

Zitto lazima ahusike maana yeye ndio chanzo cha kumfanya Mbowe aende SIMIYU!
 
Last edited by a moderator:
Molemo, usituletee picha zaidi maana hapo Lumumba hali itazidi kuwa tete!!
 
Naona kila anapopita Zitto, chadema wanakwenda kuziba mashimo.

Muha kawashika pazuri wachagga.

Itakuwa ni jamaa yako nn sisi hatuna habar na msalit, mikutano ilianza zaman ya kujenga chama kabla ya huyo bwana ako kaz ya Mungu inaendelea majibu sahihi utayapata kwenye sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…