Siyo kitu Cha ajabu kwa Wanasiasa kufanyiana hujuma kama hizi.
Kwenye karibia nchi zote zenye Tawala zenye Itikadi ya Ujamaa/Ukomunisti, ni jambo la kawaida kabisa kwa Wanasiasa au vyama vya Siasa kupandikiziana Mamluki ili kuvurugiana mipango yao ya kisiasa kwa Watu wa Makundi yanayohasimiana kisiasa.