Freeman Mbowe amgomea OCD - Wananchi wakachachamaa, OCD akatoweka

Heshimuni mamlaka nyie watu!

Kasome ibara ya 9 ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tz utajua serikali inapata mamlaka toka kwa nani! wenye mamlaka ndio walikuwa wanaongea na mbowe kwa mujibu wa ibara husika, na mbowe aliwauliza wananchi, nishukeee? wananchi walilipuka kwa sauti ya ghadhabu tena kwa pamoja, USISHUKEEEE! Kamanda wa anga akaendelea kutoa somo la uraia. nilikuwepo
 
Kwa hiyo kwa akili zako "finyu", wananchi wakikuambia ukiuke kifungu cha kanuni ama sheria we ufuate tu?

Kweli vyuo vikuu vya MoU ni janga la kitaifa. Wanasiasa wanalewa na wingi wa watu mikutanoni, wengine huudhuria mikutano kama kiburudisho tu.
 
ni ujinga kwa anajiita kiongozi kutotii sheria. Ha tumhitaji kiongozi mshari, ha aki kutii hata shERIA AKIWA RAHIS ATAKuwa anakaa juu ya meza. Maana amezoea k uvunja sheria.
Hivi sheria hiyo ya Mungu au magamba?
Tunawapendaga wanaokaa juu ya meza
 
Kwa hiyo kwa akili zako "finyu", wananchi wakikuambia ukiuke kifungu cha kanuni ama sheria we ufuate tu?

Kweli vyuo vikuu vya MoU ni janga la kitaifa. Wanasiasa wanalewa na wingi wa watu mikutanoni, wengine huudhuria mikutano kama kiburudisho tu.
Afadhali maana wanaambulia kitu si sawa na kutoudhulia.siyo ile ya akina nepi inayoudhuliwa na watoto wasioelewa kitu
 
Kwa hiyo kwa akili zako "finyu", wananchi wakikuambia ukiuke kifungu cha kanuni ama sheria we ufuate tu?

Kweli vyuo vikuu vya MoU ni janga la kitaifa. Wanasiasa wanalewa na wingi wa watu mikutanoni, wengine huudhuria mikutano kama kiburudisho tu.

Umeisoma ibara ya 9? hizi unazozidhani ni akili finyu zaweza kukufanya uniite baba wa kambo.
 
Polisi wanatumika vibaya sana kwa manufaa ya Dola iliyopo. Hope cdm wakishika Dola hawatafanya hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom