Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

Haya wenye chama chetu tumechagua Mbowe atuongoze na wewe toka ACT unatuchagulia nani? ili tufurahishe nafsi yako na walio kutuma
 
Wewe Mwl.Kaijage mtafuteni MM awakatie mshiko walau kidogo maana kashavutaga wa nguvu mno. ili na nyie mjikwamue, maana unapiga makelele mipovu mingi wakati mfukoni mweupe pee!

Mwenzenu kashavuta - kuweni na akili nyie, msifanye kazi ya bure - habari ndiyo hiyo!!

Hivi nyie mnafikiri ACT -Tanzania ni mali ya nani? tumieni akili walau kidogo.
 
Niliwahi kumuuliza Mwl Kaijage na hakutoa jibu,kama makao makuu ya ACT yako Dar Es Salaam na si Kigoma,iweje afisa habari wa Chama mwl Kaijage aishi Kasulu na kufanyia kazi Kasulu na sio Dar? hadi leo nasubiri jibu.
 
kazi anayo fanya mbowe hakika inatakiwa iendelee kuungwa mkono kwa anae ona anaonewa chadema aende ACT...kuendesha chama si kazi ndogo
 
Sjui hii inamaana gani,yaani tukio lenyewe linamaana gani?..tabia hio wanayo ccm kwann tena chadema? Mie sjaipenda na kama mtakubaliana namm chukueni note juu ya hili,then utaja kujua madhara yake hata kama sio leo!..yeye hajaamua hadi anaombwa?...no ningekuwepo ningetofautiana kidogo na walioibariki hatua hii.Yeye angechukuwa form yeye kama yeye,kama alivyokuwa akichukua sku za nyuma..unless tell me kuwa tunataka kuiga mambo ya ccm
pamoja na kwamba nakubaliana na wewe kwamba huo ni mtindo wa kiccm na kuwa sio vizuri kuiga mambo ya hovyo, napingana na wewe kwani mazingira ni tofauti sana.Kwanza ni kweli Mbowe ni jembe.

2.kutokana na uimara wake aadui zetu wamemurushia mishale mingi ya sumu na moto na ameishinda kwa uvumilivu mkubwa sana.(kumbuka kwamba ni binadamu angeweza/anaweza kukata tamaa) Hivyo basi ni muhimu kumtia moyo kwamba tuko naye na tunathamini moyo na kazi yake na njia mufti ya kuonyesha hayo ni kwa mambo kama hayo.

ASANTE MUNGU KWA AJILI YA MBOWE.
MBOWE asante sana,tunaokupenda ni wengi kuliko wanaokuchukia
 
Hakika siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Hawakutarajia lakini imetokea,wangetokea Arusha au Kilimanjaro mngesema ukanda na ukabila,sasa wametokea Pwani,Kigoma na Zanzibar sijui mtasema nini. Hichi kitendo cha Mh.Mbowe kuchukuliwa fomu na wazee wa kigoma na Pwani ni kiama kwa ccm na washirika wao ACT.
Wanabwabwaja maneno tu,ooh angekuwepo MM sijui ingekuwaje.Acheni kuhangaikia mafanikio ya wenzenu,ninyi wachawi? Mbowe kuwa M/kiti inawahusu nini?
Naona wanahangaika na kauli ya Mbowe kuwa yeye ni KISIKI. Huyo ndio kamanda wa anga,mnasema ana elimu ndogo mbona hamusemi kuwa kawazidi pesa pamoja na elimu zenu? Muacheni Mbowe ajenge chama,kama wanachama wanamtaka hakuna wa kupinga hata kama atakuwa m/kiti wa kudumu kama anakubalika haina taabu.
Poleni kwa kuumizwa na kauli ya kamanda wa anga,huyo ndio kamanda Mbowe hana price tag.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mkuu, magamba watajibeba mwaka huu, mbowe tutampigia kura nyingi za ndio. Huo ndo ukweli.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom