MNA magazetimwambieni kubenea awaandikieMbona wale wanaosafirisha meno ya tembo hamuandiki au hao wana kibali?
Mbowe yeye nani!Hijaona ameanza kujipendekeza atatulia tu
Kwani hiyo Kampuni inayodaiwa kuwa ni Mbowe imefunguliwa wapi?? Labda tuanzie hapo??
haha Chakaza siwezi kuumia kisa mpuzi kama Mbowe neverMtu hachagui idadi ya maadui kamweulipo adui yupo hata uwe wapiNamuogopa mungu pekee Na si Zezeta kama Mbowe au Misukule take NkamweZtt ni binadam nakamwe hawwzikuwa nalaika au Mungu MTU kama Mbowe kamwe,kukosolewa kwake kawaida sikama Babuyako huyo akikosolewa NitatizoMimi sio Kila akifanyacho Zitto namuunga mkono noAtakapo kwenda sivyo siungani naekuna wakati Ztt amepost kuwa Tz tupeleke majeshi yetu somalia kushirikiana Na KenyaMimi nilimpinga sana sana ajabu Leo Hi nyie kwa ushabiki Wa kijinga Mmemfanya Mbowe awe Mungumtu, hakuna jambo amefanya mkanyanyua mdoma hata kumchambua Chakaza humu mnaishi kwa kutafuta Sifa,kushangiliwa,Like, fashion nk,kwamba ukionekana una shabikia CDM utapata marafiki JF,uta onekana unajitambua kumbe ni wendawazimu TU.ukipendaNingeshangaa kama uzi huu ungekupita bila kutia neno. Kiukweli bila kuficha MOTOCHINI unamchukia Mbowe kuliko kitu kingine chochote. Hii ni wazi kabisa kutokana na maandiko yako mengi.Kuna tatizo gani? Weka mambo hadharani tukusaidie kukutoa huko kwenye gereza la chuki. Nina uhakika kwa chuki hizo wewe ndie unaumia zaidi maana huyo Mbowe sidhani kama anaumia kwa ajili yako! Jiweke huru ndugu yangu kwa kujenga marafiki zaidi na kupunguza maadui. Hata kama unapingana na kama mimi ninavyopingana na Zitto, lakini hamna sababu ya kuchukiana.Nikupe mfano kidogo, mie Zitto asilimia kubwa ya anayoyafanya sikubaliani naye lakini simchukii hata kidogo. Mwaka jana alikuwa hapa Mwanza na tukakutana Mwanza Hotel na kukaa meza moja pamoja na wengine, na kucheza muziki wa Bakulutu pamoja huku tukizungumza mawili matatu. Na nilijisikia vizuri tuu.Tusichukiane.
ajipendekeze kwa nani sijui takataka za aina zako zinatupwa kwenye mitaro tuMbowe yeye nani!Hijaona ameanza kujipendekeza atatulia tu
Mbona wale wanaosafirisha meno ya tembo hamuandiki au hao wana kibali?
Ndugu yangu MOTOCHINI hebu soma tena post yako. Huu uandikaji kwa vyovyote vile hukuandika ukiwa kawaida lazima ulikuwa umeweka vitu kumkichwa. Ha ha ha lazima hapa ulikuwa umeweka kawiski kidogo, au ni Amalula ikalegeza vidole? Ona sie tushapiga Kanyagi lakini vidole viko biyeee.haha Chakaza siwezi kuumia kisa mpuzi kama Mbowe neverMtu hachagui idadi ya maadui kamweulipo adui yupo hata uwe wapiNamuogopa mungu pekee Na si Zezeta kama Mbowe au Misukule take NkamweZtt ni binadam nakamwe hawwzikuwa nalaika au Mungu MTU kama Mbowe kamwe,kukosolewa kwake kawaida sikama Babuyako huyo akikosolewa NitatizoMimi sio Kila akifanyacho Zitto namuunga mkono noAtakapo kwenda sivyo siungani naekuna wakati Ztt amepost kuwa Tz tupeleke majeshi yetu somalia kushirikiana Na KenyaMimi nilimpinga sana sana ajabu Leo Hi nyie kwa ushabiki Wa kijinga Mmemfanya Mbowe awe Mungumtu, hakuna jambo amefanya mkanyanyua mdoma hata kumchambua Chakaza humu mnaishi kwa kutafuta Sifa,kushangiliwa,Like, fashion nk,kwamba ukionekana una shabikia CDM utapata marafiki JF,uta onekana unajitambua kumbe ni wendawazimu TU.ukipenda