Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,755
- 218,373
Ameenda kula bataMtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?
Acheni propaganda.
AmenKila la heri mwamba
Kazi gani au huko kuna mizinga ya asali!Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .
Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .
Tunamtakia kila la heri .
Tatizo mnachangia bila kusomaKazi gani au huko kuna mizinga ya asali!
Mbona hujiulizi kuwa mtu kama wewe unaandika humu JF na watu wenye akili wanasoma!!Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?
Acheni propaganda.
Unaboa wewe mchawi. I mean it.Ameenda kuomba Mkopo kwa Laigwanan
Pambalu aliambiwa amwambie aende!
Lazima kuna shida mahali kichwani mwako.Kazi gani au huko kuna mizinga ya asali!
Mbowe anamiliki Hoteli Johannesburg. Kaenda kukagua mradi wake.
Kuhusu utajiri wa kumiliki Mahotel hatuna ubishi wowote ule , tena siyo S.Afica tu ni pamoja na Ulaya na Marekani , lakini Safari hii kaenda kwenye ziara ya kikaziMbowe anamiliki Hoteli Johannesburg. Kaenda kukagua mradi wake.
Unaweza kuitaja jina na mtaa ilipo?Mnafungwaga kizembe hivi hiviMbowe anamiliki Hoteli Johannesburg. Kaenda kukagua mradi wake.
Kazi gani au huko kuna mizinga ya asali!
Nahisi ulitaka kumsema mzee aliyetuita wapumbavu!,....hii kampuni ya Nyati Transport ni mali ya nani?,hii let's park tutajadili another dayMbowe anamiliki Hoteli Johannesburg. Kaenda kukagua mradi wake.
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?
Acheni propaganda.