The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Katika watu ambao historia itapaswa iwaandike vizuri kipaji.ujanja na uwezo wa kufika mbali kisiasa Freeman Mbowe anapaswa kuandkwa vizuri sana ukitazama historia yake utaona huyu jamaa ni 'mtoto wa mjini' kikweli kweli na watu wanao jaribu kum underestimate wengi huishia kulia.. huyu ni true hustler.
Kutoka kumiliki Billicanas Club na kufanya tu starehe na kuoana 'opportunities' za kila aina kwenye siasa za TZ na ku risk yote ambayo ame risks si jambo dogo.
Watu hupenda kufatilia historia za Marais au watu wanaofanikiwa kuchaguliwa ila ukitazama siasa za TZ Mbowe siku zote 'anacheza kama pele' Ndo maana ndani ya CHADEMA mbowe ana marafiki nje ya CHADEMA wa kila aina wengine hawawezi kukaa pamoja lakini yeye wote 'washkaji zake' there is something about him ambacho Slaa hana,Tundu Lissu hana, Zitto hana na wengi tu wengine Ukisikia 'mtoto wa mjini' ndo watu kama Mbowe.
Pasco Nyani Ngabu ..

Last edited by a moderator: