balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,565
- 13,285
Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma
Malimbikizo ya Mishahara
Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili (mseleleko ndio muafaka)
Mapunjo ya mishahara yapo kwenye mfumo huo wa mshahara yaliratibiwa
Hela za uhamisho (yapo yale yaliopo tamisemi; hasa yale ya muda mrefu, na mengine yapo huku halmashauri)
Muundo mpya wa utumishi tulioahidiwa na Waziri Mkuu kuwa serikali inaufanyia kazi bado haujatoka mpaka leo
Kufanana kwa mishahara kati ya watu wenye Elimu moja na Idara moja ingawa HALMASHAURI ni tofauti
Pia, inahuzunisha sana jamani yaani masters ya Elimu hiyohiyo ukifanya kazi HALMASHAURI mshahara ni tofauti na anaefundisha chuo tena wengine hata sifa za kufundisha hivyo vyuo unakuwanazo na zaidi
Kama kigezo ni elimu basi lazima mishahara idara ya elimu bila kujali upo primary, sekondari, chuo au HALMASHAURI provided sifa muwe mnafanana. Utofauti wa mshahara baina ya wafanyakazi wenye Elimu au vigezo vinavyofanana inakatisha tamaa sana kwenye ufanyaje kazi
Mwisho, jamani tunapojiendeleza kielimu lengo ni kuboresha utendaji wetu wa kazi wa kila siku na hatimae tija. Sasa bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) isitumike kama fimbo ya kutuadhibu hasa sisi wa utumishi wa Umma. Mbona tumesoma kuja kuwafundisha watanzania wanatakiwa kupata Elimu Bure. Hili nalo lifanyiwe kazi
Naamini, kupembua kwa umakini mnaweza kuja na muarobaini wa kero hizi na serikali ikalipa fedha kitu ambacho kitaijengea heshima sana serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hasani