Free zanzibar from mkoloni mweusi! Mh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free zanzibar from mkoloni mweusi! Mh

Discussion in 'Jamii Photos' started by hashycool, May 30, 2012.

 1. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  550870_355593607840317_100001690411723_956846_673699301_n.jpg usiku ulipoingia tu jeshi la polisi la wakuria kutoka tanganyika likaanza kukamata watu majumbani kama walivyo zuwea kufanya hivyo miaka ya nyuma na kupiga mabomu kila wanapo ona mkusanyiko wa watu kama vile karata,bao,zumna,nk
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar mida hii Maustaadh ngazi begani wakiranda kupiga chabo mitaani, wewe unafanya nini kwenye Computer? Kisiwa keshanyang'anywa Sultani by Nyerere na hairudi
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  MADHALIMWATANGANYIKA.jpg askari wa tanganyika wananyo wauwa wanzanzibari
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  WATUACHETUPUMUEEE.jpg WATUACHETUPUMUEEE.jpg watuache tupumueee
   
 6. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Tuachiwetupumue_4.jpg kujivunia zanzibar si ubaguzi
   
 7. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  WADUDUWAMASAIZNZ.jpg Hivi ndio mandhari ya Darajani town inavyoonekana. Imepambwa kwa haiba ya kimasai badala ya ile ya kanzu na kofia, znz inamalizika wenzangu
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  WAKOLONIWEUSILOWASSANAMKAPA.jpg wanachekelea wanavyo tuuwa waznazibar,hawa ndo wakoloni weusi: Lowassa na mkapa
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  MWANAMKEKABEBWAJEHIIHAKI.jpg huu ndo muungano na mkoloni mweusi
   
 10. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Hahahahaaa Frustration,Racism,Islamism,Nepotism,Hatred and above all Closed mindset is killing You....lolGo back to h*ll leave us with peace love and diginity
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  Mashehe wa bara nao inabidi waanzishe uamsho ili kupinga unyonyaji unaofanywa na watanganyika
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tatizo la Zanzibar ni ubaguzi ambao chimbuko lake ni uarabu. waarabu wabaguzi sana hao!
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Usisahau sababu ingine ya zanzibar ni watu wachache saaaaana wenye elimu dunia zao ni ilmu akhera,......na pia shida za msongo wa maisha i.e milo mitatu kwa wazanzibar wengi ni ndoto.
   
 15. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  HUYO WA KWANZA KUSHOTO...DUUUU..! rudi tu bara tena kule USUKUMANI...! hufanani na mambo hayo..! usultani ukirudi zenji utakuwa bodaboda mtu!
   
 16. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata mie najivunia Tanganyika lakini sijachoma msikiti hata mmoja na wala sijawanyanyapaa wapemba wala waunguja. Kwani ukijivunia nchi yako mpaka ufanye vurugu na kuharibu mali? Nyie watu mnasikitisha sana sijui hizo shule mnazosoma huwa mnafundishwa nini maana hamsaidiki.
   
 17. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  .................. So that Mkoloni Muarabu can come back? Or so that an Al-Qaida brach can bo opened in Zanzibar? (Al-Qaida on the East African Coast). God forbid.
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,460
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
 19. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  We kaa huko Muscat. Zanzibar hamuwezi kuitawala tena. Hata kama muungano utakufa lakini Al-Qaida na Al-Shabab kuwa jirani zetu hatutakubali.
   
 20. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 180
  Njoo Ilala na Manzese uone vibaraghashia na vibandamaiti (viduka) vya Wapemba vilivyotapakaa huku. Mkifukuza Wamasai muwe tayari kuwapokea Wapemba wenu.
   
Loading...