Free zanzibar from mkoloni mweusi! Mh

Hawa Waarabu wabaguzi hasa wanajuuona daraja la juu sana na kutufananisha na punda wazo Farasi wanakwambia Punda hapandi Muscat au km ukimkuta mwarabu katumbukia shimoni na mwafrika muokoe kwanza mwarabu
 
HUYO WA KWANZA KUSHOTO...DUUUU..! rudi tu bara tena kule USUKUMANI...! hufanani na mambo hayo..! usultani ukirudi zenji utakuwa bodaboda mtu!
Arudi wapi huyo! kesha zoea tende na halua za bure toka Muscat. Muungano hata mie hauna mvuto kwangu ila hilo swala la hawa jamaa kuunganisha imani za kidini na vikundi vya kigaidi ndio ninapoona kuwa kama muungano wa kistarabu na unaowapa favor wao zaidi hawautaki ni bora tuligeuze liwe koloni letu jumla. Kama mbwai mbwai, ni heri hivyo kuliko kuruhusu hao el quida na Al shabaab kuweka makazi km 40 toka nchini kwetu.
Taabu ya hao kuwa na makazi jirani ndiyo inayoipa shida Kenya sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom