Free tv channels from russia

Free tv channels from russia

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Kaka arselona na wana jamii forums wenzangu,msaada kwenye hili,tena msaada wa haraka sana,nimelekwa kwa mrusi mmoja hapa dar,anataka channels kutoka russia,ana euro star 8ft solid dish,receiver ya arisat mpeg4 hd,single solution lnb eurostar,ku bracket na fuji ku band lnb high gain,sasa wandugu,satellite gani ntapata channels za russia?au niache pesa mezani niondoke jaman msaada
 
Russia today? Ama ntv ,ntv+,tnt, nasha russia,zvyozda, ama ipi? Wewe unanipa bei gani?
 
satellite nyingi zenye channel za Russia hazipatikani huku.Kwa hapa utapata Russia Today kwenye satellite ya Measat 91.4 E.Ila sidhani kama ataipenda kwa sababu ni ya habari tu kama Aljazeera.Measat 3a at 91.4°E - LyngSat
 
kaka,ahsante sana ndugu yangu kwa msaada wako,maana wengine wanahitaji pesa wakati mtu unaomba msaada,wamesahau na wao wanasaidiwa bila kutakiwa kutoa pesa,nashukuru sana,ila nina swali moja muhimu sana,measat 3a at 91' unaset vipi dish,yaani,dish inakaaje kaka,ntashukuru kaka
 
Back
Top Bottom