ASTRA 28'E,msaada wataalam

ASTRA 28'E,msaada wataalam

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
jamani wataalam msaada wenu kwa hii kitu,anayefaham jinsi ya kuipata astra 28'e,ninaitaka joy sport,mi nna 6ft eurostar solid dish na receiver ya arisat mpeg4 hd,je naweza kuipata,je dish yake waiset vp,nna maana iko karibu na satellite gan ambayo itafanya tuipate kwa urahisi?nko kwa mathiasi kibaha,natanguliza shukrani
 
mkuu kwani astra hapa tz inapakinana hii ni kwa ajili ya watu wa europ tu nafikiria ila tusubiri watalaam waje kutujuza zaidi
 
mkuu kwani astra hapa tz inapakinana hii ni kwa ajili ya watu wa europ tu nafikiria ila tusubiri watalaam waje kutujuza zaidi

Satellite ya Astra 2F 28.2 East(West Africa Beam) inapatikana katika mikoa ifuatayo,
Kagera ,Mara, Mwanza,Kigoma,Shinyanga,Tabora ,Mbeya, Rukwa na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Singida.Kwa sasa zinapatikana channel 24 zote ni Mpeg 4 FTA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom