Free Tanzania - Maandamano 7/7

Hii JF imesahau tena? Endekezeni huu upumbavu safari hii mtafungiwa moja kwa moja
 
Nitafuturahi tukiandamano.
Wapuuzi Hawa wanatufanya kama manguruwe
Wiki ya pili hii tunaoga maji ya chumvi maji hakuna dar mzima hii mikoani Nako hivyo hivyo
Hama huko dar
Acheni ujinga nyie
Ole wako uandamane
 
Nitanyanyua tu mguu wangu nikiona mabasha yenu yanayowafirimba nao wanashiriki
Mkund* wa mama yako,unafikiri huyo msenge aliyevimba mashavu Kwa Kodi za wanyonge utamuona hiyo trh 7 July akiwa barabarani au na yeye atakaa ndani na matako yake makubwa huku akiamrisha watoto wa maskini waende barabarani wakaue wananchi wanaotetea nchi irudi mikononi mwa wananchi na sio hao vibaka wanaohamasisha amani ili waendelee kuiba Kwa uhuru bila woga.SASA HIVI KITANUKA KULIKO UNAVYODHANI NA WATANGANYIKA WAMEJIPANGA KUIKOMBOA NCHI
 
Wewe hutaki kuandamana si ukae kimya. Sisi tunaotaka kuandamana tuache tujadili. Si umeshasema tutakufa sasa unaendelea kujadili nini wakati tunaenda kufa. Tuache tujadili kwa siku chache zilizobaki ili tukafe salama
Mi nimetaka tu kujua Maria Sarungi na yeye atakuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…