Free talk: Mwanamke shtuka!

Financial support sio lazima kusomesha bana.[emoji12] [emoji12] [emoji12]. Kuna business ambazo unaweza ukamsupport baby ukajikuta umetoa kiasi kinachotosha kumsomesha mtu kabisa teh
Kweli kabisa.
 
Teh tumewashtukia mbona, watapata tabu sana kama wataendelea kuona ni sawa kutomtreat vyema mkeo na yeye anatakiwa aendelee tu kujivumilisha
Utaitwa mwanaharakati shaurizo![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mkwe tunawaheshimu sana, shetani na ASHINDWE.
 
Kama mnaweza basi vifungieni hadi tukatoe mahari...[emoji3][emoji3]
Hahahaaaa!!! Mkwe kutegana sio vizuri ujue, tukiamua hapatatosha.[emoji85] [emoji85]
 
Maneno mazito sana haya, angalau mwamko sasa upo ila sio kihiiivyo.
Hapo pa marafiki napo ni janga kwakweli, unakuta rafiki kila unachotaka kujaribu anakukatisha tamaa mwisho wa siku unaacha na ukija kustuka its too late.
 
Maneno mazito sana haya, angalau mwamko sasa upo ila sio kihiiivyo.
Hapo pa marafiki napo ni janga kwakweli, unakuta rafiki kila unachotaka kujaribu anakukatisha tamaa mwisho wa siku unaacha na ukija kustuka its too late.
Mie huwa nina kautaratibu kangu kamoja, kabla sijamfanya mtu rafiki mpaka wa kuanza kujua ni nini nafanya (sio vyote) naanza kumuasses mapema, kama ni wale wale asitegemee nimuombe ushauri ama kumshirikisha ni nini nataka kufanya....Wengi wanakuwaga na kauli za kukatishana tamaa kitu nisichokipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…