Free talk: Mwanamke shtuka!

Ok.. positive

Mwanaume atafurahi kuona unamuuliza mambo ya msingi, atakuona mwanamke wake una upeo mkubwa, unafikiria mbali.

Kwa vile anakupenda, hatosita kukusaidia na kukuinua sababu anajua hata siku na yeye akianguka utaweza kumsaidia.
Hapa nimekuelewa sanaaaa.
 
Nilikumiss hadi nime-undo kukumiss kyee. Kweli mtembea bureau si sawa na mkaa bure
Hahahaaaa!!! Eti umefanya nini!!!
Kwanini hukuniambia mwenzio jf ilifungwa sijui! Jana ndo nimejua
 
Yap: ni kweli mkuu

Ni vyema kusaidiana coz huwezi jua, unaemsaidia leo anaweza kukusaidia na wewe kesho.

Wanawake ni watu wa kulipa fadhila na unapowekeza kwa mwanamke umewekeza sehemu stahiki, kwani wakiwezeshwa wanaweza
Eeeewalaaaaa! Mambo ndio haya sasa, hebu msiache kutustua tutoke usingizini jamani.
 
Najua wamesoma kama mimi nilivyosoma..

The issue is; will they take this and work on it..? Kama wako tayari kubadilika watayachukua..

Nawaombea wayaelewe haya.
Kwa kweli tuombeane tu katika kuyatenda. I had this sista friend, walitengana na mumewe, mwanamke akiwa jobless. Kila siku alikuwa anatuma vimemo vya mahitaji kwa baba watoto hadi yule baba akawa anamuuliza "hivi unataka kuniua au?". Ila akaniambia kuna siku alikaa tu mwenyewe akawa anajiuliza "hivi ikitokea huyu mwanaume amekufa (God forbid) nitaishije na hawa watoto?" Na hata hizo hela nazopewa kwa child support zinaishia tu kwenye kula, kesho nikiamka naomba tena mahitaji. Akaanza kibiashara chake cha bites; Mungu ni mwema, sasa hivi baba watoto mwenyewe ndo anapiga kuulizia bills, vimemo vimepungua, mama kaamua kupambana kwa ajili ya wanae. Too much utegemezi ni best friends na umaskini
 
Hapa nimekuelewa sanaaaa.
Ok..positive

Kuwe na seminar nyingi ambazo zitakuwa zinalenga kumsaidia mwanamke kujitambua hasa kiuchumi.

Kuanzishwe vipindi vya redio na tv kwenye vituo mbalimbali, kumuelimisha mwanamke kujitambua na namna gani ya kujisogeza mbele na kuwekeza kwenye biashara, badala ya kutumia pesa nyingi kwenye urembo na starehe.

Apate elimu na mafunzo ya kutosha, endapo akipata pesa ni nini anatakiwa kufanya kujikwamua kiuchumi kwa sasa na baadae
 
I think I love you
 
Kisha hiyo elimu tuihamishie kwa watoto wetu wa kike wakue wakijua hawapaswi kuwa tegemezi bali wapambane wajikwamue kiuchumi.
 
That's great...

The best , aligundua kuwa alikuwa anaweza kufanya and she made it, she now know the touch of hustling..

Leo kesho huyo kaka hayupo, watoto watasoma na maisha ya taenda..

Huyo mshikaji tuu anapaswa asiwe na wivu sasa..mback up bussiness iwe kubwa.
 
Nikiwa nimemuoa ni mke wangu sawa..ila binti yuko kwa baba yake hapana..

Nani anataka kucheza karata dume..?
Haha Ila wanaume mnanifurahishaga. Kwenye sex mnataka mpewe freely no excuse, yani sex upewe kama mume vile ; unasahau hujamuoa. Ikija kwenye kumsupport financially ndo mnakumbuka ni binti yupo kwa baba ake. Baba zetu wanawaona
 
Umeongea point, hakuna kitu kizuri kwa mwanamke kama kuwa na akili ya kujiongeza kujituma na kuwa mtafutaji kabla hata hujaolewa, sio unataka kuolewa hata kishughuli kidogo cha kukufanya ulete kitu mezani huna. Maisha yamebadilika wanaume nao siku hizi wanaangalia una nini na wewe, sio akubebe tuu ukawe wa kuomba tu kila siku, vinginevyo hela utapewa, mechi utachezeshwa na mwisho wa siku unashangaa umeachwa kaolewa Mwajuma unabaki kutafuta mchawi.
Na mara nyingi ukikuta mwanamke wa aina hiyo huwa ni wale wasio jielewa by nature, na hana akili ya kujiongeza, ndo hao wa kujaza viatu na mapochi ukimuambia kuhusu kuwekeza ndo kwanza unaonekana mshamba wewe unaongea nini. Hata akikaa na mwanaume hana cha maana cha kuongea utakuta ni pumba tu mpaka mwanaume anajiuliza hivi huyu kichwani kuna kitu kinachoitwa maendeleo anakijua kweli? tujielewe.
 
Noo...you took me wrong..

Huwezi kucompare sex na kumsomesha mtu...afu pia ujue Sex kuna mutual pleasure..kuna mutual benefit..

Sex kwani naenjoy mimi peke yangu..?


Vaa viatu vya mwanaume hebu;

Unapewa kitobo kweli, umesomesha mtu miaka 3 ama 4..kamaliza unataka kujenga nae future anakuja jamaa from nowhere binti bila kujali anasepa na msela mwingine..real..?

Sasa hapo ndio unajua kuwa uliingilia wajibu wa mtu..

Mimi hili nimeliona kwa macho yangu kwa marafiki zangu..! Wala sikusoma story..! I will never do it.
 
Hahah

Heaven Sent, hivi upo? za masiku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…