Akuu mie thimoooo!!José mwenyewe mtoto tuu huoni alivyokuwa ananisumbua?
Nadhani sasahivi nitafute mzee mwenzangu hawa watoto watanipa jaka la moyo.
Au nielekeze akili yangu kwenye kujikwamua kimaisha kwa kuendeleza biashara zangu kuliko kupambana na hawa watoto kama ulivyotushauri kwenye bandiko lako au wewe unasemaje?
KWA KWELIHahhaaaa!! Hii sentensi nimeifananisha na avatar yako.
Mume wangu kichwa, ndio kaniambukiza.Ngoja NIKUSANYE HELA KWANZA...NIKIFUZU NITAKWAMBIA...ILA WEWE KICHWA CHAKO KIZURI SEMA NDIYO MAANA NIMESHAWAHI KUKUULIZA KAMA UMESOMA FALSAFA ULINIAMBIA ULISOMA UNAPOSOMEA UALIMU. BILA UNAFIKI NASEMA HADHARANI KICHWA CHAKO KIZURI SIJAJUA KAMA MME WAKO UTAKAMPATA MWINGINE ATAKUWA NA KICHWA KAMA CHAKO. MSHUKURU MUNGU KWA KUKUPENDELEA KUWA NA UBUNGO ULIONAO.
Kweli kabisa...Miezi kadhaa mkuu
Nitamuuliza kaka yangu.I am a good woman. ..
Kagame cc QKweli kabisa...
Hivi ile id ya mwanzo ilikuwa ni nini?
Nipe tu zawadi yangu in advanceNitamuuliza kaka yangu.
Ikiwa ni kweli..! Zawadi nono inakuja.
Usome kwa bidii sasa, nikija kusikia umesomeshwa halafu umemuacha itaniuma sana.Ndio tumetoka kwa fundi.
Kwa upotevu wako nimekusamehe maana umekuja na elimu nzuri sana kwa akina dada, marafiki na wachumba zetuBFF hivi hujui kama nimekumiss?
Hahaa...Nipe tu zawadi yangu in advance