Free talk: Mwanamke shtuka!

Umemchoka mwenzio. Box tena?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha fujo!!!
 
Tusiposomeshwa ujue nawe umechangia, kaone!!!
 
Ndiyo maana mimi nikiona vijana wanafanya hivyo huwa nasemaga Hiiiiiiiiiiii ya Kihutu.
Unakuta huyo kijana hata ka-laki moja hajawahi kutuma kwa mama yake kule kijijini amekazana tu na vibinti mjini.
The power of papuchi[emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Acha fujo!!!
Dogo kazubaa sana.
Tusiposomeshwa ujue nawe umechangia, kaone!!!
Mimi nasema ukweli ambao nimewahi ku-experience kwa mtu na kwangu, hii ni kamali mbaya sana. Yaani kweli huyo mwanamke awe wa tofauti sana sana.
The power of papuchi[emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kweli hapana chezea kabisa, weka mbali na vijana wa Dar
 
Dogo kazubaa sana.

Mimi nasema ukweli ambao nimewahi ku-experience kwa mtu na kwangu, hii ni kamali mbaya sana. Yaani kweli huyo mwanamke awe wa tofauti sana sana.

Kweli hapana chezea kabisa, weka mbali na vijana wa Dar
Kwahiyo hako kaexperience kamoja ndio umesusa kabisa!!! Usifanye hivyo bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…