Free sms worlwide over internet!

Walau wewe unaelewa unachoongea. Lakini Hans Pol alikuwa anashupalia asichokijua.......
 
Last edited by a moderator:
Hold up....!...Wewe unaijua voxox? Kama huijui piga kimya.... Easy bruh... Watch your goddamn steps.

Voxox naijua, ila mtoa uzi alikataa kuwa sio voxox sasa na wewe usilazimishe kitu usicho kijua.
Na siku nyingine angalia kauli zako, wewe sio mtoa mada lkn unalazimisha watu kuamini anazungumzia voxox.
 
Acha kutoka povu.... Mchana wote huuu..........
 
Acha kutoka povu.... Mchana wote huuu..........

Kauli zako tu zinadhihirisha wazi huku umekosea njia. Hili jukwaa si saizi yako.
Labda kama unatatizo sema usaidiwe.
 
Kauli zako tu zinadhihirisha wazi huku umekosea njia. Hili jukwaa si saizi yako.
Labda kama unatatizo sema usaidiwe.

Sawa bwana Hans Pol. Nakutakia mchana mwema....

Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…