free proxy

free proxy

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
narudi tena kuomba prox znazofanya kaz kwa wale tlozoea ku share plz nipen tafu wakuu wangu
 
narudi tena kuomba prox znazofanya kaz kwa wale tlozoea ku share plz nipen tafu wakuu wangu
siku hizi eneo hili haliko poa kwa kushear proxy or any hack trick, si unajua mamluki wamevamia humu, hata usijihangaishe maana hutapata, ila tumaini lipo, njia nyingine ipo...
 
ww cha muhmu n ku wa pm watu unaohs kwamba watakuanazo... Ww s mwenyeji hmu
 
kilichomo humu ni kwamba wanakula wanaojuana,kama huna title ka mimi basi lipia tu
sio kama tunafanaya ukatili au uchoyo au roho mbaya. bali ma spy wapo wengi na wala huwezi kumjua nani ndio nani. unaweza kumpa mtu maujanja masaa machache baadae ikawa blocked. sasa faida iko wapi?
jambo hilo tayari tumesha li experience kwa maana tupo kama aliyeumwa na nyoka akiona majani tu anakimbia.....
 
ntafanyia kazi wandugu thnks
 
yap paje.. hapa kukausha kwenda mbele kwa underground,, maspy hawapat ki2 mwaka huu
 
na hapa kuna watu uwa viherehere uwa wanatupia tu hizo proxy, nikiziona tu naziondoaa, mambo kama hayo wote tunajua sehemu ya kuombea sio hapa jamani
 
SAMRICH1 MBONA WEWE MKONGWE??
UMRI UNAKURUHUSU KAKA NENDA UKAWEKWE SUPER GURU NA Paje PROXY WAACHIE WATOTO

Dah,long time sana mkuu,ulikuwa chimbo gani au mimi ndio napitaga humu kwa kubeep!
Nakumbuka ule mchakato wa hewatel july july ile,yaani nilikumind ile kishenzi mkuu.Ulitupia kila kitu hapa sebuleni,then within no time jamaa wakablock.Hakianani nilitamani nikumeze mzima mzima.

Kiukweli kwa sasa imani kwa watu imepungua.Na hii imeyafanya maisha yetu humu ndani yamekuwa magumu kupita maelezo
 
  • Thanks
Reactions: a2b
na hapa kuna watu uwa viherehere uwa wanatupia tu hizo proxy, nikiziona tu naziondoaa, mambo kama hayo wote tunajua sehemu ya kuombea sio hapa jamani

Kudos mkuu.
Mwaka huu ni kukaba hadi penalt.Tena hao ndio wavimba macho wenyewe,wanajifanya wanatupia hapa ili kutuhadaa tukishawaamini,wanakuwa wanatibua kila mbinu inayoibuka.Halafu wengi wao hata sio shida kuwagundua,it's very simple,unafanya kuwazunguka tu kidogo,chali...kwisha habari yake.
 
99.158.160.201 port 80

67.208.113.125 port 80

63.141.241.219 port 80

76.73.109.78 port 80

176.62.193.191 port 80

opening page ni freesite yoyote unayoijua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom