Free Photos | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free Photos

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mambo Jambo, Oct 23, 2009.

 1. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wakuu naombeni kama kuna mtu anayejua website zinazotoa picture high quality/resolution for FREE.

  MJ
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  sijaelewa unamaanisha nini
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kuwa specific picha gani
   
 4. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kuna website ambazo huwa zinakuwa na huduma ya kutoa picha(download) bure, nilikuwa na maanisha hivi, natumai umenipata.
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Website huwa na picha tofauti tofauti, ninahitaji picha tofauti tofauti.
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ingia website ya global publishers kuna picha nyingi sana unaweza coy and paste
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  jaribu getty images
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bado hujawa specific unataka picha za ngono? maana naona una ficha ficha
   
 9. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kama huna mchango wowote ukikaa kimya kuna ubaya gani kaka?..
   
 10. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  No sihitaji picture za ngono, nachohitaji ni website zinazotoa picture za bure, kule huwa wanakuwa na category tofauti tofauti..kwa hiyo once nikipata hizo website nitaweza chagua picture ninazo zihitaji.
   
 11. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa huwa wanaweka watermark ya getty images kwenye picture zao.
   
 12. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndo mchango wenyewe kwani upmekaa kama swali lako,si unataka picha?we bana vipi?yani wewe utadownload picha za watu hata huwajui za nini sasa?bora global unawajua baadhi
   
 13. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nimeshakwambia kama huna mchango wowote kaa kimya au hama thread siyo lazima uandike...unachoandika hapa ni pumba..na pumba hapa hazitakiwi...kwa heri
   
 14. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  we mgumu haswa kuelewa ujue jamvi zima hawaelewi unataka nini, najaribu kukupa mazingira ujieleze sasa unatema pumba,ok dwnload avtar za watu ukichambua kuna picha nzuri tuu, wewe si unataka picha bana!!
   
 15. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Acha kushoboka wewe, kama hujaelewa ipotezee, kuna walionielewa na tayari wameshaanza kuni PM.
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  jamani huyu inaonekana katoka kuvuta bange zake sasa zinampelekesha. atakua anataka za ngono tu hana lolote.
  haya ingia hapa:
  www.worl***.com
   
 17. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ebwana ni PM na mimi nazihitaji, unaweza kujua wapi pa kupata templates za calendar na seasons greetings card?
   
 18. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  George_Porjie mbona nakuheshimu sana mkuu, sitaki kubadilisha msimamo wangu juu ya heshima niliyonayo juu yako.

  Kuna kazi ambayo naifanya na nina hitaji images kibao kama Telecom, Engineering, restaurants hotels, flowers, animals, landscape, it n.k.

  Naelewa kuna website ambazo huwa wanatoa picture za bure, lakini website ninazozijua haziwezi kukidhi mahitaji yangu yote, sometimes huwa nanunua pictures online kama nikiwa nataka kuzitumia kwa sababu za kibiashara, lakini mradi ninaofanya sasa sio mradi wakuingiza faida na nina hitaji pictures nyingi ndiyo maana nimeona niweke hili bandiko hapa endapo kuna members ambao huwa wanadownload free picture wanisaidie website wanazotumia, sasa hayo mambo ya bange yanatoka wapi kaka.
   
 19. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Naona miradi yakufunga mwaka.

  Templates za calendar na S.greeting ziko nyingi kwenye google, kuna website na blogs kibao utapata, google...then nenda mosi mosi.

  Ukikwama nishtue nitajaribu kukutumia baadhi.

  MJ
   
 20. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ubarikiwe mkuu...
   
Loading...