Free pc games for gamers

Free pc games for gamers

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,132
habari wakuu. nakumbuka nilitoa ahadi ya ku supply fifa 12 endapo ningeitia mikononi. sasa natangaza rasmi kwamba nimeipata na yeyote atakaeitaka ani pm. vilevile kuna games kama FIFA 11,NFS HOT PURSUIT NEW,NFS SHIFT2,NFS MOST WANTED,WORLD RALLY,THE GODFATHER,WWE RAW,PROTOTYPE LOSS REPACK,SPLINTER CELL,CALL OF DUTY MODERN WARFARE,MEDAL OF HONOUR,NFS UNDERCOVER. Zote hizi ni bure kabisa na utatakiwa kuja na dvd empties au external na ukijiskia kuchangia si mbaya ila its completely free kwaajil ya gamers wote. pia mnakaribishwa wenye games tofauti tuweze kukutana na kuexchange na muviez pia. thanks wakuu
 
wakuu napatikana maeneo ya posta simba road
 
Mkoani huku unatuambiaje?...tutachangia petroli bana!
 
mkoani wakuu ngoja nijaribu kuyacompress ma file alaf niweke online ikishindkana basi tunaweza hata fanya kwa njia ya posta vifurushi
 
Dah! Mkuu mimi ni mmoja wa watu tuliokuwa tunasubiria kwa hamu kubwa hivyo angalia PM.
 
Pirates of the Carribean IV unayo mkuu wangu?? Ni mpya, ilitoka May..
 
habari wakuu. nakumbuka nilitoa ahadi ya ku supply fifa 12 endapo ningeitia mikononi. sasa natangaza rasmi kwamba nimeipata na yeyote atakaeitaka ani pm. vilevile kuna games kama FIFA 11,NFS HOT PURSUIT NEW,NFS SHIFT2,NFS MOST WANTED,WORLD RALLY,THE GODFATHER,WWE RAW,PROTOTYPE LOSS REPACK,SPLINTER CELL,CALL OF DUTY MODERN WARFARE,MEDAL OF HONOUR,NFS UNDERCOVER. Zote hizi ni bure kabisa na utatakiwa kuja na dvd empties au external na ukijiskia kuchangia si mbaya ila its completely free kwaajil ya gamers wote. pia mnakaribishwa wenye games tofauti tuweze kukutana na kuexchange na muviez pia. thanks wakuu

Mkuu kweli we ni mzee wa Loliondo coz umetoa tiba mbadala ya uhaba wa pc games..watu kama hawa ndo wanaotakiwa Jamii Forums.Ntakutafuta mkuu asante sana
 
Wa mikoani please bana jaribu kucompress bana mzeewaloliondo.
 
pamoja sana wakuu,mkuu VinDiesel tuliweza kumit nakusupplyana maujanja. Thanx Jf
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom