Free Online Exams for Tanzania students

kbmk

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
703
250
Elimusoft Free online examination system inakuletea huduma ya kufanya mitihani na kusahishwa mtandaoni.

Hawa watoto wetu kama notes wanazo kama mitihani a zamani wanayo, kama ni vitabu pia wanavyo. e wana kosa nini?

Bila shaka ni kufanya mitihani na kusahishwa katika kipindi hiki cha CORONA. Tumekuletea mfumo maalamu wa kufanya mitihani mtandaoni na kusahishwa mtandaoni. CORONA IMEBADILI MAISHA NASI TUNA PASWA KUBADILIKA. Tembelea Elimusoft Online Examination System
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom