Free Kiswahili movies

Free Kiswahili movies

Joined
Mar 1, 2018
Posts
51
Reaction score
7
2018 Swahili Movie Latest African Tanzanian Full English Movies

MACHO MEKUNDU - Hii ni movie ya kiswahili inayoelezea maisha ya kijiji kimoja kilichotawaliwa na imani za kishirikina yanayopelekea kuharibu mfumo wa maisha ya kijana Makenzi na dada yake Janeth baada ya bibi yao kuuwawa kwa tuhuma za uchawi Makenzi na dada yake wanakimbilia mjini na baadae wanapoteana, Nini kitatokea baada ya vijana hao kupoteana fatilia ndani ya movie hii.

CAST - SAID .B. SAMJI, JANETH WILSON, MOSES KSIMIL, DANIEL BEDON,AMINA SIOGOPI

DIRECT BONGO TV 2018
 
Back
Top Bottom