Mkuu itakusumbua tu, maana kupitia Google utapata exe. tu bila keys. Na kama utatumia utorrent kweli inakuwa na keys, ila jamaa wanabadilisha badilisha keys zao mara kwa mara so utakayopata inaweza isikufae sana.
Kuna namna ya kuactivate kwa kutumia key file, ni kweli inakuwa activated ila wanaishtukia wakati wa updating wanaiblock.
Kuna namna nyingine ya kutumia trial reseter, kweli inareset lakini shida inaangukia pale pale wakati wa ku update.
So, the only reliable way ni kutafuta mwenye comercial product akupatie key tu, kisha ingia kwenye google download trial version yoyote kisha enter zile keys. Then unakula good time.
Tumia hizi hapa ingawa sina hakika zinaishia lini, may be 4 months or less. Nafanya mpango wa kutafuta mpya tena.
KEYS: 1BRR9-XWX2S-32352-7HX43 (Kaspersky 2011)
Good luck.