Free internet ITV Broadcast

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Jul 8, 2010
849
103
Wana jamiiforums;

Nilijaribu u-download tv4africaplayer kwa ajili ya kuangalia ITV. lakini la ajabu ni kwamba nimeweza ona siku moja tu, baada ya hapo hakuna response niki-click link. Watalaam naomba maelekezo.
 
Mkuu heshima mbele.

Sasa nilivyoelewa mimi, hio ni software ambayo inakuwezesha kuangalia files mbalimbali za kuhusu televisheni mbalimbali. Kwahio ni kama inakusaidia kushare hizo files au PierToPier na watu wengine ambao huweka humo.

Kwahio inawezekana files hizo sio nyingi kama ambavyo ungependa uone na ndio maana unashindwa kufaidi telly hio.

Ni hayo tu.
 
Ingiza mkono mfukoni babu, nadhani as low as 5 euro / month utaangalia kwa kujipimia mwenyewe.
 
Ingiza mkono mfukoni babu, nadhani as low as 5 euro / month utaangalia kwa kujipimia mwenyewe.

...toa maelezo yanayoeleweka basi,au bado unafikiri tunaongelea EA,aiseeh serious tupe hizo info na sisi tuone za home tutashukuru sana.
 
Unatakiwa uwe na account Paypal. It is easy to open kama huna. Then unaingiza hela huko kwenye paypal account yako. Unaweza kufanya bank transfer au ukatumia visa card au master card etc.
Once account yako ikiwa na hela, unaweza kuwalipa hao TV4africa. 5.58 euro kwa mwezi.
 
Nenda januarymakamba.com,click media(on top),halafu click JMTV...utakula ITV bure tuu!!!
 
Nenda januarymakamba.com,click media(on top),halafu click JMTV...utakula ITV bure tuu!!!

inakuwaje hapo wakubwa,naommba maelezo japo kidogo kuhusu Tv kwa pc unahtaji nini na nini uweke kwa pc ili niweze kuangalia Tv on ma pc?
 
inakuwaje hapo wakubwa,naommba maelezo japo kidogo kuhusu Tv kwa pc unahtaji nini na nini uweke kwa pc ili niweze kuangalia Tv on ma pc?

hawa wanazungumzia kuangalia tv mbalambali kwa njia ya internet ila pia ukiwa na pc yako unaweza kufunga tv tuner card na ukapata local channels kama ilivyo katika tv ya kawaida.
 
Back
Top Bottom