free internet 1month 5000/=

Sina hamu nahawa jamaa mwezi wa kwanza mwaka huu nimeibiwa 20,000/= ya tangazo kama hili jamaa aliweka tangazo kama hili nikamtafuta akasema tuma pesa nikupe Huduma nikatuma hiyo pesa hakupatikana tena hewani wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…