FREE Entrepreneurship Workshop

Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.<br />
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani
<br />
<br />
biashara matangazo, mwache mwenzio atangaze. Nxt mill tutakuja.
 
ntakuja.nmeshajua ni wapi mkuu so sihitaji unielekeze.venue millenium tower ghorofa ya pili.itakuwa j2 kuanzia saa nne asubuhi.ntakuja na hela ya kununulia bidhaa nikaitangaze.asante kwa taarifa.mia
 
Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani

Failure is success if we learn from it.
 
[h=2]

Wengi wanadhani Sitta anasema kweli, weye je?
[/LIST]

naona umeamua kuingiza siasa .... hii itapelekea watakaosoma bandiko lako kupuuzia .... stick to your intention, kuvutia watu kuhudhuria workshop ..... na si kutoa maneno ya dharau dhidi ya wachangiaji
 
ntakuja.nmeshajua ni wapi mkuu so sihitaji unielekeze.venue millenium tower ghorofa ya pili.itakuwa j2 kuanzia saa nne asubuhi.ntakuja na hela ya kununulia bidhaa nikaitangaze.asante kwa taarifa.mia

"People rarely succeed unless they have fun in what they are doing." Dale Carnegie
 
Yapu mambo ya forever living hayo. Mkuu mimi nakuaminia kwa kuitangaza forever living uko juu sana utazani wewe ndo ceo wa forevel living.
Tatizo lenu ni moja biashara zote hapa duniani waga mnaona c biashara na forevel living ndo biashara pekee hapa duniani

There are some things you don't have to know how it works. The main thing is that it works. While some people are studying the roots, others are picking the fruit. It just depends which end of this you want to get in on.
 
naona umeamua kuingiza siasa .... hii itapelekea watakaosoma bandiko lako kupuuzia .... stick to your intention, kuvutia watu kuhudhuria workshop ..... na si kutoa maneno ya dharau dhidi ya wachangiaji

Mkuu nisamehe, nilikuwa sikuona ID yake ama kuisoma vyema.
 
nyie foreverliving kunakitu kimoja huwa na pingana na nyie, niliwahi kuhudhuria semana yao hapa arusha kwenye jengo la blueerock.

1- wanapondea sana aina nyingine zote za biashara na wanaamini network marketing ya foreveliving ndo biashara pekee. Mimi wangekuwa wanasema watu waapy hii network marketing kwenye biashara zingine ningewaona wa maana sana.

But hii yakuamni kwamba biashara ni forevaliving pekee yake sikubalinani nayo hata kidogo
 
Mkuu, nadhani utakuwa unachanganya mambo hapo, Network Marketing, Direct Selling or Multi Level Marketing ni Mfumo to wa biashara ambao hao Forever wanatumia, unaweza tumiwa na kampuni au biashara yoyote ile, hebu fanya ka-home work kidogo u-google search kisha utapata jibu,

au soma hii definition TOKA HAPA:-

[h=2]What is Direct Selling, Network Marketing?[/h]Direct selling is the sale of a consumer product or service, person-to-person, away from a fixed retail location, marketed through independent sales representatives who are sometimes also referred to as consultants, distributors or other titles.
Just about any product or service can be purchased through direct selling somewhere in the world. Many people think of cosmetics, wellness products and home décor as products that are often sold through direct sales, but add to that countless other product categories including kitchen products, jewelry, clothing, organic gardening supplies, spa products, scrapbooking supplies, rubber stamps and much, much more.

Utaona kuwa bidhaa yoyote ile yaweza kutumia mfumo huo, watu wenye uwezo kama Mabilionaire kama Donald Trump au Warren Buffet wao walifanya utafiti na kugundua ubora na uzuri wa Network Marketing na kuamua kuanzisha makampuni yao, nawe ukiwa na uwezo unaweza kuanzisha ya kwako ama kujiunga na yoyote kati ya zaidi ya 200 hivi sasa na kuona faida zake, sio forever pekee wanaofanya biashara kwa mfumo huo, hapa nchini kuna mfanyabiashara anayefanya Multi Level Marketing japo si kwa namna moja na makampuni mengi duniani, anamiliki njia zote za uzalishaji- kuanzia shambani-kiwandani-mpaka kwa mlaji, waweza kuwa wamfahamu mapato yoote ni ya kwake, nakushauri huusome vizuri mfumo huo, nitakupa reference kukusaidia kujua mfumo huo iwapo utakuwa na nia ya kuujua vyema.

WATCH THIS LINK MAY BE IT WILL OPEN YOUR EYES
 
Back
Top Bottom