Free education pledge false - Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free education pledge false - Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mwanamayu, Sep 15, 2010.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  JK claims that it is not possible to offer free education (The Guardian, 15/09/2010). Is it to tell the poor that under CCM government they should forget about better and affordable education? Is computer for every pupil in 2013 possible? Is there reliable power, computer skilled teachers, enough local content? Is a laptop for every teacher possible? Is sending teachers abroad by 2020 with our population growth trend possible?

  President candidates campaign TV debate could give him a room to see if false or not! That is false for poor innovators and creativity!!!!!
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Safi sana Ng'wanamayu. Obheja sana nkoi.

  Ulimana agabehi ganaka gatali gaguhayaga dudi na masala mpaga lelo..........
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Free education was possible under Mwalimu Nyerere. Why not now with all the gold and other minerals coming out of the ground?
   
 4. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,640
  Likes Received: 4,747
  Trophy Points: 280
  Kikwete kama umeshindwa wewe na lichama lako mfu wenzio wanaweza.Tatizo lenu CCM akili zenu zimelemaa hamna ubunifu. Umekuwa kama Mahimbo kwa ulevi wake kamshindwa mke wenzake wanaoweza wakifanya kweli analoloma. GO TO HELL KIKWETE
   
 5. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Kikwete,kikwete,kikwete! Asante.kwamba ccm haiwezi kutoa elimu nafuu ila watoto wa masikini wajiandae kulipia gharama za mabilioni 50 anayotumia sasa hivi.kama tunavyolipia ile epa mwaka 2005.mm kura yangu kwa atakayetoa elimu bure
   
 6. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama Kenya (Capitalist government) wanaweza kutoa free education iweje Tanzania (Socialist government) washindwe?
   
 7. D

  Dopas JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Suala sio kuwa nchi haiwezi, ila hao viongozi mafisadi hawataki kutoa Elimu ya bure.
  -kwa sababu haiwaumi watanzania maskini wakijikomboa kwa elimu walau hadi kidato cha sita: umaskini ambao wao wameusababisha kwa kuiba rasilimali ya nchi.
  -kwa sababu watoto wao wanaweza kusoma kwa gharama yoyote ndani na nje ya nchi
  -kwa sababu wao wanaweza kuchota hela popote; kodi za wananchi, mafungu ya misaada ya nje -EPA, wakawasomesha watoto popote duniani.
  -kwa sababu ya kuwa na mtazamo finyu, hivyo kutoona faida ya wananchi wote kupata elimu ya 'msingi'; darasa la kwanza hadi F6.
  -kwa sababu.......... endelea.....,
   
 8. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Imenishangaza kuona mtu kama Samuel Sitta aliyenufaika kwa elimu bure hadi Chuo Kikuu anaweza kushabikia upuuzi kwamba Serikali haiwezi kusomesha wananchi bure! No wonder alipigwa viboko na Mwalimu Nyerere kumbe mentality ile ya kujiona ameukata kwa kufika Chuo Kikuu bila kutafakari kilichomfikisha hapo na mentality ya kutoelewa wajibu wa kujitolea kujenga nchi bado imo kichwani kwake hadi leo! Shame on him!
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kinachoshangaza zaidi ni kwamba hawa wooote wanajisifia kusomesha watoto bure, iweje wao waweze wafanya hivyo hali wanalipwa mishahara lakini iwe ngumu kwa serikali kuchukua jukumu hilo..
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mi ningekuwa kitengo cha propaganda ndani ya ccm labda ningemwambia rahisi, sema hv free education inawezekana but quality ya education itakuwaje!?? Ccm walijipanga kwa mabango tuu lakini vingine ni zero na hapo ndo wenzenu wanawapiga bao sasa!!
   
 11. S

  Selemani JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 26, 2006
  Messages: 871
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Una uhakika Kenya kuna Ilmu dunia ya bure?

  Nani kakwambia Tanzania is a socialist government?

  Pipo--
  Swali la msingi hapa ni kufanya mahesabu. What are the costs of providing free education, na hizo hela zitatoka wapi? Please don't say Ufisadi. That term is waay overused.

  Kwa tuliosoma sekondari shule za serikali tanzania (Mazengo Complex Dodoma, Muungano Dormitory, room six up), tunalijua hili, ada ilikuwa ndogo sana (40,000 Tsh) kwa mwaka na bado hali ilikuwa ngumu sana. Ugali kila siku, Nyuka (uji) bila sukari asubuhi, maji ya kuoga na kunywa ilikuwa mbinde, experiment za kemia zenyewe ilikuwa mbinde kufanya.

  And leo hii Mr. Slaa anatuambia ile elimu dume tuliyopata kwa Sh 40,000. Itakuwa improved and also will be provided for free. We say GTFOH. Unatupotezea na siasa zako za kisoshalisti. Besides, for a good (education) to be valued, it has to be paid for (ada). Elimu ya kufuta ujinga (shule ya msingi) should be for free, hapo hakuna ubishi. But I doubt the sustainability of free secondary school education program.
   
 12. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,534
  Likes Received: 2,115
  Trophy Points: 280
  Wananchi wasahau huduma bora za afya chini ya serikali ya CCM kama picha hii ya mgonjwa wa mjini amebebwa mzegamzega kwa baiskeli kwa vile hali mbaya ya uchumi imefanya ndugu kushindwa kukodi teksi na huko hospitali lazima kuchangia gharama. Uamuzi ni Oktoba 2010 kuendelea na hali hii ya kupigika au kuchagua chama mbadala ambacho kitaboresha huduma za afya na kupunguza makali ya umasikini:
  [​IMG]
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu mbona majibu unayasema wewe mwanyewe..

  Kama wewe uliweza kusoma kwa ada ya Tsh 40,000 kwa mwaka iweje serikali ishindwe kukulipia wewe hizo Tsh 40,000 kwa mwaka?.. Halafu hizo Tsh 40,000 unazolipa kama ada zilitumika kwa kitu gani ambacho serikali pia haiwezi kukikabiri hata kuharibu utaratibu uliopo?. Je, kutokuwepo kwa hizo Tsh 40,000 kutabadilisha vipi quality ya elimu ikiwa mishahara ya walimu itaongezeka!.

  Mkuu wangu Mishahara ya Wabunge, mawaziri inajulikana kuwa mikubwa kuliko hata corporate CEOs huo wa rais pekee hata huujui na aibu kuutaja iweje leo tugange njaa kwa kufikiria tu kwamba haiwezekani.

  Na hakika jambo kubwa kuliko yote kama unakumbuka, Dr.Slaa alisema wazi kwamba ni watu zaidi kidogo ya millioni 2 ndio wanalipa kodi nchini na kati yao robo tatu yake wanatoka mkoa wa Dar. Je, rais Dr.Slaa akiweza kuimarisha mfumo wa ukusanyaji kodi na kuhakikihasha wote wanaopaswa kulipa kodi wanalipa atashindwa vipi kuwasomesha watoto wote..

  Pengine wewe hujui ni kiasi gani cha fedha zinapotea ktk mfumo uliopo na jinsi wanfanyakazi wa TRA wanavyotajirika kwa kodi ilotakiwa kukusanywa na serikali..Hii ni sehemu moja tu nilokuwekea na zipo loop holes kibao ambazo zinaweza kabisa kugharamia yote.
   
 14. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #14
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mabango ya CCM hovyoo...!

  ni kama mabango ya kumchagua askofu..!

  tuonyeshe ulichokifanya in the past 5 yrs kwenye mabango yako na sio kila bango unakumbatia watu maskini...! brbrbrbrbrbrrbrrrrrrr
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli kwa hali hii lazima kitu kifanyike! On serious issues kiongozi wa juu wa serikali anashauri zinunuliwe Bajaj! What kind of thinking is dat? I dont see how Tanzaniana is going to achieve MDGs 4 and 5 wanapanda kwenye majukwaa na kuongea uwongo. hawa watu hawana dini?
   
 16. Negotiator

  Negotiator JF-Expert Member

  #16
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kama anaona haliwezekani kwa uwezo wake mdogo wa kufikiri, basi na aondoke amwachie anayeweza
   
 17. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Kikwete is SICK!
   
 18. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Achana na hii chauvinism. Kama CCM ilishindwa kuleta quality education bure (au kwa Sh 40,000/) kama unavyosema, hii haina maana kwamba vyama vingine havitaweza! Nyie CCM hiyo ndiyo tatizo lenu -- eti kwa kuwa chama chenu kinashindwa, basi vingine havitaweza. Bullshit!!!!
   
 19. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?

  Date 05/09/2007
  The Right Side | By Erin-And-Isabel Now, if you are talking about mineral wealth Africa is up there in the realms of royalty. But as we keep telling you, investing in Africa is a risky business. The key is being able to climb into the mind of the government in question, to understand where it is coming from and, more importantly, where it's going.

  cieve The Right Side here...
  [​IMG]
  Easier said than done! Governments are made up of people and people don't always agree with one another. Take Tanzania's President, Jakaya Kikwete, and its Commissioner for Minerals, Dr Peter Kafumu, as an example.
  One minute the President is telling a Cape Town based mining conference that a hike in mining royalties is on the cards. The next the Commissioner is reassuring industry that the chances of this happening are remote. Who is an investor to believe?
  Mining policy under review... but still looks pretty reasonable

  Over the last few months the Tanzanian government has indeed been reviewing all mining licences. This process is being run in tandem with the review of 1997's national mining policy which spawned the Mining Act of 1998. As a consequence they've been looking at royalties.
  Currently miners in Tanzania pay about 3% in royalties for most minerals but around 5% for diamonds and gemstones. Some argue this is much too low considering that in South Africa mining companies must fork out 12%. Dr Kafumu doesn't buy this argument and has been willing to publicly state that the reason for SA's high royalties is because it is a safer investment bet than Tanzania. Mining companies in Tanzania have much higher operational costs totalling some 60% of profits.

  Still, analysts widely agree that Tanzania is still a "competitive destination" mainly due to its "good government policies". High praise indeed for Africa!
  Undoubtedly, favourable legal and fiscal measures, flowing from the Mining Act have acted as a catalyst for direct foreign investment in the mining sector. Some significant measures include:

  • Tax incentives such as repatriation of profits accrued from mining investments;
  • Special VAT relief;
  • Zero import duties for equipment and machinery used during exploration;
  • A depreciation allowance of 100%; and
  • A 15% withholding tax for foreign contractors on technical services and management fees.
  These investment friendly policies have worked! By 2005 there were 21 mining ventures registered in Tanzania - six in gold mining, four in gemstone mining and the balance, though not of concern to us at Miner Diaries, industrial. Better still the mineral sectors' contribution to GDP has risen from 1.5% in 1995 to 3.2% in 2004. Predictions are that this could reach 10% by 2025.
  Some incentives scrapped... but a new IT system limits the damage

  Recently as the commodities boom has gathered momentum the Tanzanian public has started to ask more questions. Gold exports may have risen by 20% in 2003 from $414–$505 million but the Tanzanian people have not managed to get their hands on more than 5% of their very own precious yellow metal. Increasingly under pressure, the Tanzanian government had to do something. Some incentives like the 15% additional capital allowance provision have now been scrapped.
  So then, are these rumblings the end then of the country's mining boom? We doubt it. Short of a Zimbabwe like fiasco, companies already operating in Tanzania are not going to back out if there are proven and probable minerals in the ground.
  And from our precious point of view Tanzania's mineral resources are certainly not to be sneezed at! This is now the continent's third largest gold producer after South Africa and Ghana with proven gold reserves in excess of 36 million ounces. The most significant gold deposits have been found around Lake Victoria and are at various stages of development. But gold targets have also been identified in the south west.
  estment email

  Sign up to recieve

  When you've got gold, gemstones come in rather handy too - yet another tick for Tanzania's precious box! Diamonds have been commercially produced at the Williamson Diamond Mine at Mwadui since 1925 but there are others too. Sapphires, rubies, emeralds, amethysts... the list is endless. So, no! This mining boom is set to continue. Thanks to Dr Kafumu - who seems like a pretty reasonable sort of guy - the royalty hike discussion seems to have been pushed under the carpet for the moment. Royalties, says Dr Kafumu, are "a very sensitive element that could make or break local and foreign investment."
  What the government is doing, however, is fine tuning its IT infrastructure which should identify companies whose compliance record for paying royalties leaves a lot to be desired. This could rake in billions of dollars currently lost to royalty evaders. This year alone, fees and royalties are expected to increase to $50 million from less than $25 million in 2004 thus avoiding the need for any drastic fiscal/tax hikes.
  Getting into the mind of government gets results

  Meanwhile what the mining companies should be doing more of is getting as close to the Tanzanian government as possible, attempting to prove that they too have the country's interests at heart.
  In spite of the mining contracts review, the Tanzanian government gave the green light to Barrick Gold Corporation's (TSX, NYSE: ABX) Environmental Impact Assessment report for its wholly-owned Buzwagi gold project. Buswagi is said to have 2.64 million ounces of gold reserves and an estimated life span of ten years. More on this project later in the month!
  So for now we want to say this - all things considered Tanzania is a good bet for Africa as its mining policy still looks pretty fair. Put another way at least the government has been willing to engage with investors on the subject. It has been in talks with Barrick, the biggest gold mining company in the world, as well as Resolute Tanzania Limited and AngloGold Ashanti among others to work out the best way forward for keeping the public happy.
  So, now that we've set the scene we'll soon be taking a closer look at the companies tapping Tanzania's mineral wealth.
  In the mean time, keep digging!
  Erin and Isabel

  SOURCE: Tanzania - Still A Haven For Mining Investors?*.

  HIVYO DR SLAA NA CHADEMA WANAPOSEMA TANZANIA INAO UWEZO WA KUWAPATIA WATOTO WOTE ELIMU YA BURE HADI KIDATO CHA SITA NI UKWELI MTUPU. KAMA SOUTH AFRICA WANACHUKUA (METALS ROYALT) MRAHABA WA 12% KWA MADINI YAO.

  NI KWANINI TANZANIA INACHUKUA ONLY BETWEEN 3%-4%, KAMA SIO UFUSADI WA VIONGOZI WA CCM KUPOCKET ZA DIFFERENCE.

  HALAFU RAIS JAKAYA KIKWETE ANATAMKA KATIKA MKUTANO KUWA MRAHABA UTAPANDA KAMISNA WA MADINI ANAMKANUSHA. JE HUU NI UONGOZI WA AINA GANI? HUU NDIO UONGOZI USWAHIBAH HUU!!!!

  MWAKA 2007 TANZANIA DHAHABU YA THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 505, NA NCHI HAIKUPATA ZAIDI YA 5% YA KIASI HICHO KAMA MRAHABA 3% NA MAPATO MENGINE 2% SAWA NA DOLA MILIONI 25 TU. ILHALI KAMA TUNGEKUWA TUNAPATA 12% KAMA AFRIKA KUSINI MAPATO HAYO YENGEWEZA KUPANDA KUFIKIA KATI YA DOLA MILIONO 75 HADI 90. PUNGUFU IKIWA NI KAMA DOLA MILIONI 50 KWA MWAKA 2007 SAWA NA SHILINGI ZA KITANZANIA BILIONI 75 KWA EXCHANGE RATE YA SASA KWANI HATA SASA BADO ZINAPOTEA.

  LICHA YA KIASI HICHO KIDOGO SERIKALI YA CCM PIA IMEKUWA IKISHINDWA KUKUSANYA ZAIDI YA NUSU YA MRAHABA HUO KUTOKANA NA WAWEKEZAJI KUKWEPA AMBAPO INAKADIRIWA ZAIDI YA DOLA MILIONI 25 HUPOTEA KILA MWAKA.

  WANAJF HEBU TAZAMANENI HII ARTICLE MUONE WENNZETU WANAVYOTUDHAKI KWA KUSHINDWA KUKUSANYA MNAPATO KUTOKA KATIKA MADINI YETU KIASI CHA WAZUNGU KUITANA KUJA TANZANIA ILI KUZOA MADINI YA BURE HUKU WATANZANIA TUKIBAKI MASKINI.

  HAYA NDIO WATANZANIA WANAPASWA KUELEZWA KWENYE KAMPENI MARA KWA MARA ILI WAWELEWE JAMANI!!!!
   
 20. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #20
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ZAL MALANG WHICH MINERALS ARE YOU TALKING ABOUT? ARE THEY THE ONES DISCUSSED HEREUNDER?

Loading...