scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
katika majiji bora kabisa dar es aalam ni mji imara na ukuawaaji wake kiuchumi mji huu una wilaya ambazo mpaka sasa zinatambulika kama mikoa midogo ilala kinondoni ubungo kigamboni na mbagala mimi naona dar ni sehemu salama na ya kijanja zaidi au vipi wadau mnasemaje
kwa mnaijua pyongyang atujuze
kwa mnaijua pyongyang atujuze