FREE AVG installation problem

FREE AVG installation problem

jov

Senior Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
121
Reaction score
9
wadau najaribu kuinstall antvirus ya AVG ambayo ni free lakini naletewa SETUP ERROR naandikiwa * this platform is not supported by this installation package.please ensure that you have downloading the correct package. Pia kuna application nikitaka kuziunstall naambiwa zimecorrupt na hazitoki MWenye solution anisaidie.natanguliza shukrani
 
On my part nafaham kuwa,avg inahitaji internet connection ili uinstall.
 
wadau najaribu kuinstall antvirus ya AVG ambayo ni free lakini naletewa SETUP ERROR naandikiwa * this platform is not supported by this installation package.please ensure that you have downloading the correct package. Pia kuna application nikitaka kuziunstall naambiwa zimecorrupt na hazitoki MWenye solution anisaidie.natanguliza shukrani

usije ukawa unajaribu kuinstall 64bit kwenye Os ya 32 bit.
Ebu check vizuri kama hiyo setup ya Avg inaoana na pc yako mkuu
 
Back
Top Bottom