Kumekuwa na kila dalili ya waziri mkuu mstafu ndg Sumaye kurejea CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu mwezi ujao, ikiwa ni kutokana na uhakika ambao amekuwa akiusema kwenye mikutano yake kwamba uwepo wake Ukawa ni kwa ajili ya kuimarisha upinzani na sio kushika dola.
Watu wake wa karibu wamesema kiongozi huyo bado amekuwa na wakati mgumu katika kuchagua chama atakachojiunga japo awali viongozi wa ukawa walimwambia ajiunge na NCCR Mageuzi, hiyo imekuwa ni kutokana na halihalisi anayoiona katika umoja huo ambao unakabiliwa na migogoro kilapande,pamoja na viongozi wake wengi kuwa na ubinafsi badala ya kuangalia maslahi mapana ya taifa.
Mzee Sumaye mara baada ya uchaguzi anaweza kurudi CCM kwa sababu mpaka sasa amekili hatajiunga na chama chochote kipya cha siasa.Hii inathibitisha kuwa pamoja na kuwa msimamizi mkuu wa kampeni za mgombea urais kupitia Ukawa hana uhakika wa kushinda.
ha ha ha usitukumbushe kilichotokea stend ya chatoM.A.V.I. matupu, nenda K.A.N.Y.E.

Amekwenda kuimarisha upinzani wakati ndo unazidi kuzorota kila leo
Mkuu usiongee u.tumbo , huko CCM unafikiri nani atampokea?Kumekuwa na kila dalili ya waziri mkuu mstafu ndg Sumaye kurejea CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu mwezi ujao, ikiwa ni kutokana na uhakika ambao amekuwa akiusema kwenye mikutano yake kwamba uwepo wake Ukawa ni kwa ajili ya kuimarisha upinzani na sio kushika dola.