Jombi Jombii
Senior Member
- Jun 4, 2011
- 185
- 10
Kwani unafikiri kapewa hiyo kazi bila usaili, msimwtike kila zigo Mzee JK, hilo nadhani ni suala la kazi ilitangazwa, na akaomba aka sailiwa na kuonekana nibora miongoni mwa wasailiwa. Ingekuwa kateuliwa na rais, labda tungeweka shaka lakini kwa hili acha umbea!!!
Wewe upo nchi au ?Yaani kazi huwa zinatangazwa na watu wanasailiwa lakini atakayeajiriwa anajuliakana mapema na nyingi serikalini ni amri kutoka juu.
Umesahau ya MASAUNI wa UVCCMjinsi ambavyo JK alisema?
Na mnukuu' Kazi zipo nyingi kijana amekosea awapishe wengine" hapo Masauni mgombea wa Magamba Kas Unguja na yupo mjengoni.Je,kufoji vyeti si kosa la kuwa anatumikia kifungo muda huu?CHANGANYA ZA KWAKO NA ZA JK HALAFU AMUA!!!!!!!!!!!!!