Unataka aongee nini wakati Jimboni kwake anafanya mambo? Halafu hatafuti uteuzi tofauti na yule kichaa msukuma sijui anauwaza uwaziri tu. Akasome kwanzaNi takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na makeke sana?
Au naye kajiunga kwenye kundi la Mh. Abood yule wa Morogoro asiyechangia bungeni?
Hao hawajengi hoja zenye mantiki na ni viti maalum hawana majimbo, ukiwa bubu wananchi wako hupeleki hoja zao kwa serikali, wananchi wamechagua mtu wa kwenda kuwasemea hoja zaoHivi kuwa mbunge mzuri lazima uwe unaongea ongea sana bungeni? Mbona wapo wanaongea mara kwa mara lakini michango yao inakuwa pumba tu.
Mnakumbuka yule aliyeongelea nguvu za kiume? Mwingine akataka kupanda juu ya meza!
Wabunge wote wa ccm wako kma wamekaa wodi ya mirembe wakisubiria dawaNi takriban miezi saba sasa tangu uwepo wa bunge hili, Mbunge wa Monduli Mh. Fredrick Lowassa hatujamsikia akichangia chochote kama alivyokuwa mtangulizi wake, Mh. Julius Kallanga aliyekuwa na makeke sana?
Au naye kajiunga kwenye kundi la Mh. Abood yule wa Morogoro asiyechangia bungeni?
kwahiyo bora sabaya?Ukiwa mtoto wa mkulima ni vigumu kutoboa CCM. Baba yake Sabaya alikua Mkuu wa Wilaya.