Kweli huenda wengi wakitoka Msekwa na kundi lake wataona kuwa Mpendazoe si ndoo moja ya maji katika mto rufiji kama alivyoongea na mwandidhi wa BBC, Ila Msekwa anaoneka ana sauti ya woga na kuanza kulalamika bila kujibu maswali, wengi watafuata- eti akutukutanae hakuchagulii tusi na Mpendazoe kawatukana kusema chama kimeingiliwa na wafanyabiashara wanaolinda masilahi yao.
http://www.bbc.co.uk/mediaselector/check/swahili/meta/tx/swahili_1530?size=au&bgc=003399&lang=sw&nbram=1&nbwm=1
Ndugu mwanafalsafa umeuliza swali au maswali ambayo hayatakiwa
kulizwa kwa kipindi hiki.
Sijaona sababu ya wewe kuitwa au kuonekana unatetea mafisadi post yako ya kwanza ilionyesha unavyowaza wewe. Kuna vitu viwili vinavyoendelea sasa hivi
ambavyo ni
1. CCM iondoke no matter what
2. Any one who supports CCM ni fisadi
Hizo issue mbili hapo juu ni kubwa mno na utakuja kugundua kuwa unachosema si sahihi kama tunaangalia point number moja tu. kwa sababu tumechoka then CCM iondoke! I am also agreeing with this , hivyo kwa hali ya sasa hongera na shukrani zimwendee Mpendazoe
Point ya pili ni paradox na ambayo kwa sasa is not applying due to our current situation. Hivyo kuita fisadi haimaanishi ni fisadi, au kuambiwa mtetea fisadi kwenye forum haimaainishi uko hivyo. Point number ya pili ni kuwa we need to evaluate every move ya siasa zinazoendela nchini mwetu.
Mpendazoe kaondoka well and good. the next questions is. His he for real? what makes him to decide this time? why is going to CCJ? what is he planning? CCJ inaweza isifanye uchaguzi mwaka huu, hivyo na yeye anaweza asichaguliwe, je lengo hapa ni nini? kwa nini hakwenda chadema au CUF ? Sijaona na kamwe sitaona ubaya wa kuuliza haya maswali!!! kama nina uhuru wa fikra maswali yako hayakwepeki kabisa!
- Mpaka hapo tupo pamoja sana mkuu na hasa hayo maswali.
Nilichofurahia sana kuhusu issue ya Mpendazoe ni kuwa kawaanika wana JF wengi sana ambao ni wanafiki wa fikra na nafasi zao
1. Kuna tabia humu ya kusifia baadhi ya wabunge na waliitwa wapiganaji, je hawa wapiganaji leo hii ukiwaweka mizani moja na mpendazoe nani zaidi?
2. Je kusifiwa kwa wale wabunge wa CCM ni upungufu wa akili zetu? kwa nini usifie baadhi ya watu ndani ya CCM na leo akiondoka huyu CCM inapondwa? ina maana wale waliokuwa wanamwaga sifa kwa wabunge wapiganaji walikuwa wanafanya hivyo kama jadi? kufuata mkumbo, au ni nini hasa?
- Hapa hapana, kwanza bado kujua ni kwa nini Mpendazoe ameondoka na besides kila chama duniani huwa kina makundi ya aina mbali mbali tupo kwenye dunia ya mwaka 2010 unaondoka na sababu na una uhakika na unakokwenda, sio kuondoka tu kama Mrema binafsi ninawaunga mkono sana wapiganaji walioko ndani ya CCM ninaamini bila wao wananchi tungeishia kuliwa viboko na kina Lowassa, ambaye mpaka leo angekwua bado kwenye power.
- Mimi ninawa-support wapiganaji na wewe huwa-support ongea hoja lakini sio matusi kama ulivyoanza tayari, tatizo sio kuondoka CCM tatizo ni unakwenda wapi? kwa nini na kwa masilahi ya nani?
Respect
FMEs!
- CCJ watapata usajili mwaka huu na watashiriki uchaguzi kwa nguvu ya wafadhili, lakini are they for real au? ni yale yale tu, binafsi simfahamu vizuri huyu Mpendazoe vipi ikiwekwa record yake kama ipo?
Respect.
FMEs!
Mpendazoe hakuhamia ccj kwa maslahi ya watanzania wenzake, bali ni kwa ajili ya matakwa yake binafsi, na kwa kutegemea maslahi binafsi kutoka CCJ. Hakunas mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayeweza kushawishiwa na maoni ya mbunge huyo, kwamba amehamia huko kwa ajili ya kuwakomboa watanzania wenzake!
Mpendazoe hakuhamia ccj kwa maslahi ya watanzania wenzake, bali ni kwa ajili ya matakwa yake binafsi, na kwa kutegemea maslahi binafsi kutoka CCJ. Hakunas mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayeweza kushawishiwa na maoni ya mbunge huyo, kwamba amehamia huko kwa ajili ya kuwakomboa watanzania wenzake!
Mpendazoe hakuhamia ccj kwa maslahi ya watanzania wenzake, bali ni kwa ajili ya matakwa yake binafsi,
na kwa kutegemea maslahi binafsi kutoka CCJ. Hakunas mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayeweza kushawishiwa na maoni ya mbunge huyo,
kwamba amehamia huko kwa ajili ya kuwakomboa watanzania wenzake!
Naungana nawewe, nchi hii haitapata maendeleo kama CCM haitapata mtikisiko mkubwa. Kama hakuna mabadiliko hakuna maendeleo, na njia ya kuleta mabadiliko Tanzania ni CCM kupata mtikisiko utakao kidhoofisha sana. Tunahitaji wabunge wengine wengi wajiengue ili kidhoofike na mabadiliko yatokee.Wanaotafuta maslahi binafsi hubaki CCM, hawahami.
Maslahi hayo yaliyo CCJ ni yapi ? Mwenye akili timamu hawezi kuandika upuuzi kama huu wako.
Lolote lile linalolidhoofisha CCM ni hatua katika ukombozi wa Mtanzania. Katika wale asilimia 70%, Mpendazoe sasa hayumo, amejikomboa.
Na ni vizuri watu kuwa na vitu mnavyoamini na kusimamia ili wakati mtu usije kuumbuliwa kwa matendo. KWA imani yangu CCM wote ni mafisadi na nothing good can come out of CCM! wakitokea kama hawa ninafurahi kuwa wanahukumiwa na asili !
Naomba mwongozo wa kisheria::
Tanzania tunachagua mbunge na sio chama, sasa ni kweli kwamba huyu mbunge akiondoka CCM automatically anaukosa ubunge au???
Kuhusu mafao, si lazima kisheria alipwe hata kama ni prorated hadi siku atakayokuwa sio mbunge rasmi????
mpendazoe na mrema wapo tofauti?
Acha utani mkuu; tofauti yao ni sawa na mchana na usiku!
Waberoya, you are missing the bigger picture. Yawezekana kuna wanaoamini kuwa CCM ikimeguka, viongozi wazuri wataweza kupatikana humo humo. Lakini mimi siamini hivyo bali naamini katika mmommonyoko wowote ule unaoipunguzia nguvu CCM. Mathalani leo hii wakijiengua Lowassa, Rostamu, Karamagi na wengineo - kwangu mimi nitapiga vigelegele siyo kwa sababu nawapenda hao la hasha, ni kwa sababu kitendo chao kinaidhoofisha CCM. Vivyo hivyo wakiondoka hao wanaojiita wapiganaji, pia nitashangilia kwani CCM itakuwa imedhoofika kwa kiasi fulani. Nyumba yenye nyufa haiwezi kustahimili kishindo chochote kile na kwa kupuliza tu twaweza kuitikisa kama si kuiangusha kabisa.
Mawazo finyu! Sidhani kwamba Mpendazoe alichowaza ni kupata ushindi wa aina yoyote. Anajua yaliyo mbele yake lakini ameamua liwalo na liwe. Tunapenda watu ambao wako tayari ku-sacrifice 'luxuries' za kuwemo ndani ya CCM kwa ajili ya kutetea misimamo yao. Hongera Mpendazoe!
Ila kwa mtizamo wangu, CCJ nina mashaka kama ni chama imara cha upinzani halisi. Upinzani wa kweli ni lazima utokane na mpasuko ndani ya Chama cha Mapinduzi tu. Yaani ni sawa na kuchora mstari, kundi moja la SSM kule na la pili kule!!