Duh!Aiseee!Ngoja aje kongosho,ishu zake hizi!
Fred nae mtoto wa mjini eeh!
Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!
Eiyer, kwani Lisa ni mkeo?
Sikujua bana, sirudii tena
Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo,alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza:'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John:"Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
''Kazi Kwenu''
khaaa yaani rafiki yako akikukopa laki tu unampigia simu wife? je akiomba milioni au zaidi si utaita ukoo wako na wake?Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!
khaaa yaani rafiki yako akikukopa laki tu unampigia simu wife? je akiomba milioni au zaidi si utaita ukoo wako na wake?
mambo mengine unaact kiume tu mkuu
laki si pesa nasikia
Yes, matatizo mengi kwenye mahusiano yanatokana na communication breakdown.Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada yamaakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini yameza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa kufuli aka chupi.Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakugundua.
Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja njoo, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda sitevisits kwa wateja wake kila ijumaa.
Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudijioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"
Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo,alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza:'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John:"Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
''Kazi Kwenu''