Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

Lowasa hakufaa kuwa rais,hongera watanzania kwa kumchagua Magufuli
 
Ndio maana hawakupewa nchi hawa.! Selfish..
 
Mwana mpotevu. Karibu nyumbani kwa baba huku watumwa wanakula vizuri hadi wanasaza, yann ushinde njaa ugenini na kula na nguruwe tena mabaki waliyosaza! Ni maneno ya hekima ya kibiblia.
 
Fred karibu sana na pole na maisha ya upotevu issue ni kujenga taifa. Nijambo gumu sana wewe kukaa ktk genge la wahuni usinge weza.

[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sasa Genge la wahuni ni lipi?

Lile lilomkwaza / kumdhalilisha Mzee wake toka ajiuzuru?
au
Hili lililompokea na kumpa heshima 2015..?
Taifa lilimpa heshima ktk uchaguzi wa 2015.
 
Lowasa hakufaa kuwa rais,hongera watanzania kwa kumchagua Magufuli

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Waulize wazee.
Utaelewa nn kilichotokea.
Mzee yule ameacha History ktk chaguzi, pande ya huku.
Tulizoea kuyaona yale upande ulee mwingine.
 

Baba yake aliondoka CCM kwasababu zake, yeye Fred alifuata mkumbo? Kama ndivyo hatakiwi kuaminika
 
Bora nchi tunaiendesha wasukuma kuliko angekabidhiwa Lowasa na genge lake la watu wenye uchu wa kunyonya mali za watanzania.
 
Kiswahili ni rahisi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…