Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

poleni kwa mateso family ya Lowasa......
 
Hivi hawa wanajifanya kama zile familia za Pakistan zakina Nawaz Sharif wanamiliki hisa za nchi. Hizi ni familia zinamwisho mbaya na kuwadharau sana watu wa Arusha wakiwatetemekea hawa watajishusha heshima. Hapa sisemi ni vibaya kuwa CCM hapana lakini watu lazima muwe na msimamo. Mnahama wote mnarudi wote huu mchezo kuwafanya wa Tz wajinga sana.
 
Waende tu hao ndo wanafaidi matunda ya uhuru
 
Sawa wasaka urais, huko nafikiri upo 2020 kama jamaa mtakubaliana naye!!
 
natafakali kwa sauti kubwa,endapo mwaka 2015 angechaguliwa kuwa presidar via CDM ivi leo angerudi nyumbani kama anavyodai saiz
 
Mnafiki haishiwi maneno isipokuwa ya ukweli. Ukweli na unafiki havichangamani. Nendeni nyumbani, jasiri haachi asili . CCM kwa asili ni ... na sifa hizo mnazo. Hongera kwa uamuzi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi
Wakati ni mwalimu mzuri sana
Utayatapika maneno haya
Nyie endeleeni kuwadanganya WaTz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…