Fred Lowassa: Tumerejea nyumbani CCM

Karibuni sana na msirudie tena kuhama!
 
Reactions: UCD
Finiria watu wenye utapeli mkubwa Kama hawa wangekabidhiwa nchi kitokea Nini,wanajidanya wao na wake zao,au wanamdanganya Nani?
Jeji lubuvu aliona mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mzee lubuva alifanya nini hadi unamsifia kiasi hicho?

In God we trust
 
Kwa matukio kama haya, ni dhambi kumuamini mwanasiasa kwa lolote hata kama ni mzazi wako. Wana ngozi mbilimbili hawa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred lowassa Mwogope Mungu wako , Watanzania sio Wajinga wanajua kila kitu mkuu kilichowapata poleni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lubuvu ni kizazi Cha mwl,nyerere aliokoa sana sana taifa hili kutokumtangaza lowassa kuwa rais wa aridhi hii takatifu ya mungu,watu wote wa nyerere wasikubali taifa hili liiangukie Kwa lowassa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Fred ana impact gani kwenye siasa za Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Finiria watu wenye utapeli mkubwa Kama hawa wangekabidhiwa nchi kitokea Nini,wanajidanya wao na wake zao,au wanamdanganya Nani?
Jeji lubuvu aliona mbali sana

Mkuu kaza moyo, usikate tamaa.....
 
Fred karibu sana na pole na maisha ya upotevu issue ni kujenga taifa. Nijambo gumu sana wewe kukaa ktk genge la wahuni usinge weza.
Genge la wahuni ni sisiem ambao hawana dira wamebaki na polis.
 
If you cant fight them, you may easily end up joining them. Sasa ni muda wa akina Fred kujikita zaidi kwenye ujasiriamali wao kwa amani bila hofu wala bugudha
 
Huwa siamini kabisa maneno ya wanasiasa,ni wanafiki sana and can do anything for the sake of money and power.
 
Jamani Mwacheni huyu ndogo na Mzee wake watimize masharti waliyopewa na jiwe ili wawe salama wao na biashara zao .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…