Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Hakuna kitu kiitwacho mbinguni ni utunzi wa wajanja kuwaingiza mjiniMkuu hilo fungu halijasema matajiri hawataingia mbinguni. imesema itakuwa vigumu, bali siyo hataingia. Kiswahili hicho mkuu.
Wewe sijajua hiyo dini yako unayoanzisha unataka kupeleka watu wapi. Kama ni mbinguni na umepata fomula rahisi ya kutufikisha huko, tutajiunga
