Fraternity: Muda wa Kuanza Upya {DINI}

Fraternity: Muda wa Kuanza Upya {DINI}

Niongeze tu hapo tatizo letu ni umaskini uliosababishwa na hao hao tunaofuata dini zao. Wakati wanatuuza kama mali ghafi walikua hawachukui vimbaumbau walikua wanachukua watu ambao wangesaidia kuinua uchumi wa watu wao.

Haiji akilini watu weusi wanawezaje kutukanana ati dini zao ni bora zaidi ya nyingine bila kufuatilia historia nini hii mishetani ilifanya huko nyuma. Mpaka sasa wanatuita manyani si wazungu tu tena bora na hata wazungu wanatuita manyani lakini wanatuacha tufanye yetu huko Uarabuni usiseme. Angalia hii video halafu mijitu itawatetea hawa watu

Hapa chini wenzao Ulaya lakini mijinga bado inabishana humu kuhusu dini zao.

Thanks mkuu. Huenda kuna siku mtu mweusi ataamuka usingizini na kuujua ukweli. Acha huko Uarabuni wapo walioko hapahapa nchini walitukana watu weusi kuwa ni manyani na tunabaki kucheka. Ukitaka kuthibitisha hilo kafanye kazi kwa mhindi, mwarabu nk.
Wake up Africa.
 
Wazungu wamekusababishia umaskini? kwa hiyo hadi wafe wote ndio utusue. Ondoa excuses muda unaenda
 
Ngoja wafia dini wapo makanisani na misikitini wakitoka tutaoga matusi. Lakini nawahurumia tu huaga siwajibu vibaya maana wana matatizo ya akili ukitukanana nao na wewe utakua kama wao.
 
Nitaitafuta hio SIKHI kuijua zaidi. Siku tutajua ukweli tutakuwa tushachakaa. Dini zimesababisha mpaka uwezo wa kufiri kuwa mdogo sana hasa kwa sisi tulioipokea bila mipaka
WATU WOTE NIKIWAONAGA HUMU WANABISHANA KUHUSU HIZO DINI ZAO NAWAONA KAMA WENZAWAZIMU WENGINE NAWAHESHIMU WAMESOMA LAKINI WANAINGIA KWENYE MTEGO NA KUAMINI NOVEL ZILIZOANDIKWA MIAKA 2000 ILIYOPITA HAZINA HATA MHAKIKI. BORA HATA IMANI YA SIKHI MAANA TUNAJUA ALIYEIANZISHA ALIKUA NA LENGO GANI KULIKO HATA HAWA WEHU WA HIZI DINI MBILI MPAKA WANANITIA KICHEFUCHEFU
 
Wazungu wamekusababishia umaskini? kwa hiyo hadi wafe wote ndio utusue. Ondoa excuses muda unaenda
ndiyo maana nmekuuliza kama wewe ni dyslexic? kwa maana unasoma lakini huelewi mwandishi ana maanisha nini. Ama unasoma lakini ukianza kujibu hoja unasahau ulichokisoma hizo ni dalilia za huu ugonjwa.
 
Nitaitafuta hio SIKHI kuijua zaidi. Siku tutajua ukweli tutakuwa tushachakaa. Dini zimesababisha mpaka uwezo wa kufiri kuwa mdogo sana hasa kwa sisi tulioipokea bila mipaka
Sikhism is a monotheistic religion, or a religion that believes in one God. The followers are called "Sikhs", and their holy book is the Sri Guru Granth Sahib. An estimated 27 million people are followers of Sikhism, which then makes it the ninth largest religion in the world. Yeye alianzisha kwa kuwasaidia wasiojiweza. Huko kwenye ma Temple wakienda kusali kazi yao kubwa kuwasaidia wasiojiweza kuna kitu wanakiita 'Langar" wanasaidia watu bila kubagua dini zao wala rangi zao. zamani zilikua zinatolewa kwenye sehemu zao za ibada lakini siku hizi wanatoa nje.

At the centre of Sikh teaching about equality is the langar (kitchen).That's why it is so important. ... Guru Nanak Dev Ji established the langar because he rejected the Hindu caste system where people of different castes do not eat together. Guru Nanak Dev Ji wanted to stress the idea that everyone is equal.
 
Imeandikwa pia tajiri hata uona ufalme wa Mungu. Lipi ni lipi. Hili pia lilishatabiliwa kuwa mtakuja na vifungu vya biblia tusio iamini. Na kushinda uthaifu wa kuwa dini pekee ni ukristo is a huge achievement to mankind development.

Ibrahimu alikuwa Tajiri sana.

Mwanzo 13:1 Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini. ( hivi misri si ni Afrika?)
2 Naye Abramu alikuwa ni tajiri sana kwa mifugo, kwa fedha, na kwa dhahabu.
3 Akaendelea kusafiri kutoka kusini mpaka Betheli, mahali pale palipokuwapo hema yake kwanza kati ya Betheli na Ai;
4 napo ndipo palipokuwa na madhabahu aliyofanya hapo kwanza; naye Abramu akaliitia jina la Bwana hapo.
5 Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng'ombe na kondoo, na hema.
6 Na ile nchi haikuwatosha, ili wakae pamoja; maana mali zao zilikuwa nyingi, hata wasiweze kukaa pamoja.
7 Kukawako ugomvi kati ya wachunga wanyama wa Abramu, na wachunga wanyama wa Lutu; na siku zile Wakanaani na Waperizi walikuwa wakikaa katika nchi.

Ibahim anatajwa kwa wenye Imani

Waebrania 11:8 Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende kwenye nchi ambayo Mungu angempa kama urithi. Naye aliondoka akaenda ingawa hakujua aendako. 9 Kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi ya ahadi. Aliishi katika nchi ya ugenini katika mahema pamoja na Isaki na Yakobo ambao pia walikuwa warithi pamoja naye wa ahadi ile ile. 10 Maana alikuwa akitazamia mji wenye misingi ya kudumu ambao umebuniwa na kujengwa na Mungu mwenyewe.
 
Lete evidence acha longo longo na visingizio vya hali yako
Mathayo 9:23
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi, “Nawaambieni kweli, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni. 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.”
 
Mazingira uliyokulia mkuu
Hakuna binadamu mkamilifu

Biblia imezungumza kila kitu manabii wa uwongo wametajwa

Hata wakati ule Mungu anaongea na manabii watenda dhambi walikuwapo

Usijifiche kwenye kivuli cha udhaifu wengine kuhalalisha udhaifu wako

Kumbuka km umeona kuna watu wanapitosha unasimama wewe kuusmamia ukweli
Biblia inasema nani aliandika mbona biblia inasema mabo mengi sana mazuri lakini walioileta hawayafuati? Nilikua na njaa ulinipatia chakula, nilikua mgonjwa ulinitembelea hospitali, nilikua uchi ulinivika nilikua lupangi ualinitembelea n.k Niambie kama wanafuata hizo na kama wanazifuatilia kwanini walitufanya watumwa? Zinduka mkuu hakuna kitu kama hicho ni utapeli tu na ndiyo maana tumeambiwa kuwa tusifanye mabaya ati kuna moto na huu MOTO uliowashwa na JIWE hamuuoni? Moto upo hapa hapa na Akhera ipo hapahapa. Usijidanganye kama wale waislamu wanajiua wakidhani akhera kuna vigori 70 wanawangoja. UTAPELI MTUPU
 
Sikhism is a monotheistic religion, or a religion that believes in one God. The followers are called "Sikhs", and their holy book is the Sri Guru Granth Sahib. An estimated 27 million people are followers of Sikhism, which then makes it the ninth largest religion in the world. Yeye alianzisha kwa kuwasaidia wasiojiweza. Huko kwenye ma Temple wakienda kusali kazi yao kubwa kuwasaidia wasiojiweza kuna kitu wanakiita 'Langar" wanasaidia watu bila kubagua dini zao wala rangi zao. zamani zilikua zinatolewa kwenye sehemu zao za ibada lakini siku hizi wanatoa nje.

At the centre of Sikh teaching about equality is the langar (kitchen).That's why it is so important. ... Guru Nanak Dev Ji established the langar because he rejected the Hindu caste system where people of different castes do not eat together. Guru Nanak Dev Ji wanted to stress the idea that everyone is equal.
Nashukuru mkuu. Nadhani kuna funzo kubwa sana hapa. Kama walikuwa na utashi wa kupambana na Ubudha kwa nyakati hizo. Pia tutapambana na hizi fake za huku kwetu. Nilisimuliwa kijijini kwetu before mjerumani watu walimwabudu Mungu kwa kwenda kwenye msitu mkubwa uliokuwa jirani na kutoa sadaka zao huko mifugo na mazao kadiri ulivobarikiwa. Hii ilileta neema ya mvua za kutosha. Kulikuwa na sherehe za kusaidia wagonjwa hasa chakula kila mmoja alitoa vilikusanjwa kwa kiongozi wa kimila na kugawanjwa kwa waliokuwa hawana uwezo wa kulima na mara nyingi ni wale waliokuwa wanalala muda wote. Pia kuna waganga walioteuliwa kutibu watu ila walilishwa na yule kiongozi na hii iko documented kwenye vitabu kuhusu utamaduni huu. Mjerumani alipofika alitibua kila kitu na kujenga kanisa la KKKT na kudeal na wote waliokuwa wanapinga watu wasiende kusali.
 
Mathayo 9:23
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi, “Nawaambieni kweli, itakuwa vigumu kwa mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni. 24 Tena nawaambieni, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko mtu tajiri kuingia katika Ufalme wa mbinguni.”
Mkuu hilo fungu halijasema matajiri hawataingia mbinguni. imesema itakuwa vigumu, bali siyo hataingia. Kiswahili hicho mkuu.

Wewe sijajua hiyo dini yako unayoanzisha unataka kupeleka watu wapi. Kama ni mbinguni na umepata fomula rahisi ya kutufikisha huko, tutajiunga
 
Biblia inasema nani aliandika mbona biblia inasema mabo mengi sana mazuri lakini walioileta hawayafuati? Nilikua na njaa ulinipatia chakula, nilikua mgonjwa ulinitembelea hospitali, nilikua uchi ulinivika nilikua lupangi ualinitembelea n.k Niambie kama wanafuata hizo na kama wanazifuatilia kwanini walitufanya watumwa? Zinduka mkuu hakuna kitu kama hicho ni utapeli tu na ndiyo maana tumeambiwa kuwa tusifanye mabaya ati kuna moto na huu MOTO uliowashwa na JIWE hamuuoni? Moto upo hapa hapa na Akhera ipo hapahapa. Usijidanganye kama wale waislamu wanajiua wakidhani akhera kuna vigori 70 wanawangoja. UTAPELI MTUPU
Hii ni kama dawa ipo siku watu watarudi walikotoka.. i always call this as project ya kutawala watu kirahisi.
 
Biblia inasema nani aliandika mbona biblia inasema mabo mengi sana mazuri lakini walioileta hawayafuati? Nilikua na njaa ulinipatia chakula, nilikua mgonjwa ulinitembelea hospitali, nilikua uchi ulinivika nilikua lupangi ualinitembelea n.k Niambie kama wanafuata hizo na kama wanazifuatilia kwanini walitufanya watumwa? Zinduka mkuu hakuna kitu kama hicho ni utapeli tu na ndiyo maana tumeambiwa kuwa tusifanye mabaya ati kuna moto na huu MOTO uliowashwa na JIWE hamuuoni? Moto upo hapa hapa na Akhera ipo hapahapa. Usijidanganye kama wale waislamu wanajiua wakidhani akhera kuna vigori 70 wanawangoja. UTAPELI MTUPU
Kama hao hawafuati hayo yaliyoandikwa wewe ambaye unayajua unayafuata? Tuonyeshe wewe umefanya nini. Au hayo maandiko hayakuhusu?
Luka 6:41-45 BHN
Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako. “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti
 
Mkuu hilo fungu halijasema matajiri hawataingia mbinguni. imesema itakuwa vigumu, bali siyo hataingia. Kiswahili hicho mkuu.

Wewe sijajua hiyo dini yako unayoanzisha unataka kupeleka watu wapi. Kama ni mbinguni na umepata fomula rahisi ya kutufikisha huko, tutajiunga
Sina formula ya mbinguni. Hata hao maaskofu wenu hawana formula hio. Ibada njema na iliyokui ni kuwasaidia maskini na wasiojiweza sio kuwapola na kufanya mambo ya anasa na kutembelea magari ya kifahali. Na ikumbukwe hii ni fraternity na sio dini ya kukupeleka mbinguni. Our agenda will be to do God's will and treat everyone equally. Na la mhimu watu kufundishwa power of mind (secret of power). Hapa ndo aliyewaletea dini aliwaficha ili msijue.
 
Doesnt make sense. Jibu swali na changia mada. Ukiquote biblia mana yake ni kuwa tunaiamini hio biblia yako. Kitu chochote kwenye biblia sio cha kweli na sio lazima kikubaliwe na kila mtu.
Kwa hiyo wewe mkuu unataka tuamini maoni yako na misimamo yako tu, ambayo haina kichwa wala mkia. Kila la heri
 
Back
Top Bottom