ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,821
Mimi ni mkristo ila sijawahi kuelewa ukristo na nilishaachana nao kitambo sana.
Katika pitapita zangu mtaani na ndg na jamaa nimegundua asilimia kubwa ya vijana hawajihusishi tena na masuala ya dini. Hii ni either baada ya kuvunjwa moyo na viongozi wao wa kidini na kutokubaliana na mambo wadini wanafanya.
Mfano. Pasta anamuombea muumini kwa kumshika nyeti, kutembea na waumini (wake za watu), kutumia nguvu za giza katika huduma n. K
Hizi zimewapa watu wengi hofu kubwa na kukosa imani na dini.
Wakati tukiamini Israel ni Taifa la Mungu na tunaenda kuhiji huko wao wanasema kabisa kwenye maandiko yao Mtu mweusi ni mtu aliyelaaniwa.
Kuna haja sasa ya kuanzisha Fraternity au kundi la watu tusioabudu na kuamini katika misingi ya dini zao ila tunaamini uwepo wa Mungu muumba. Na msingi wa Imani hii mpya ni Afrika na sio hizi zilizoletwa na watu wa magharibi.
Msingi wa mkuu wa Imani hii ni kuwasaidia wasio jiweza kama ibada takatifu ya kumtukuza Mwenyezi Mungu.
Itaanza kama Taasisi isiyo ya kiserikali na baadaye itasajiliwa kama taasisi ya kidini{Kwa mjibu wa sheria}
Wale ndugu zetu wanaoamini sana katika dini zao waendelee ila kuquote vifungu vya maandiko yao huku sio mahali pake.
Soon Tutawaletea Taarifa kamili. ASANTENI.